Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahahahaa mzee hii ndo inawapaga kiburi..
Yaani Ligi ikiisha leo, Arsenal wanakuwa mabingwa EPL... Hawa jamaa wanaujua mpira bhana...


Premier League 2019/20
#TeamPlWDLFAGDPts
1Arsenal00000000
2Aston Villa00000000
3Bournemouth00000000
4Brighton and Hove Albion00000000
5Burnley00000000
6Chelsea00000000
7Crystal Palace00000000
8Everton00000000
9Leicester City00000000
10Liverpool00000000
11Manchester City00000000
12Manchester United00000000
13Newcastle United00000000
14Norwich City00000000
15Sheffield United00000000
16Southampton00000000
17Tottenham Hotspur00000000
18Watford00000000
19West Ham United00000000
20Wolverhampton Wanderers
 
Msimu huu tutafanya Vizuri kuliko Msimu uliopita kwani Hatujafanya Usajili, Lakini pia Hatujapunguza Mchezaji..

Bali naweza sema tumeongeza Origi na Brewster kwani last Season Origi alishasahauliwa na Kuoneshwa Njia ya Kutokea, Pia Brewster alikuwa ni injury.
mkuu naona baada ya kuona JK hana mpango wa kusajili umeona umsupport!
 
Hivi wakati Klopp anamuita TAA kikosi cha wakubwa ni nani aliyetegemea TAA angefanya maajabu kama tunayoyashuhudia sasa? Klopp alipomnunua Robertson tulijua anatuletea mzigo tu lakini shughuli ya Robertson tunaiona sote ni mashahidi.. Hivi karibu kamnunua Van Den Berg nani anaujua uwezo wa huyu dogo?
Wakati Klopp akiwa Dortmund alitumia kiasi cha paund 22.37 million kununua wachezaji watano wa kiwango cha juu kabisa.
1. Shinji Kagawa bure
2. Piszeck bure
3. Lewandowsk paund 3.33 m
4. Aubameyang paund 9.1 m
5. Subotic 3.15 paund m

Kwa hiyo suala la kusema Klopp hasajili tuliache yeye anajua kuliko hata sisi tunaompigia kelele.
_Jumapili njema Kops _
upo sahihi kabisa ila tatizo ni kwamba epl ni ligi iliyo na matumizi makubwa ya nguvu (physic) hivyo kama huna kikosi cha wachezaji wenye uwezo huo basi possibility ya kuwa na injuries ni kubwa mno
 
Haya maneno ya mwacheni Klopp afanye anayoyataka yamekuja baada ya miuja ya Barcelona na Trophies ya UCL ni Klopp huyu huyu aliwaaminisha kwa Karius na Grujic baadae mkamgeuka na tunasema mapema tutakuja kuongea negative kabla ya January tuombe uzima.
Na tangu ametua Anfield,Kloop na Michael wamefanya makubwa tumecheza final mbili za UEFA,Europa Cup final mara moja bado mnaponda kazi ya Kloop? Bhasi tafuteni kocha wenu
 
mkuu naona baada ya kuona JK hana mpango wa kusajili umeona umsupport!

Hakuna namna nikubaliane na matokeo tu.

Mimi Klopp kanifurahisha Kusajili Madogo wenye vipaji (Ki-Jana, Berg na Elliott) kwa ajili ya Mipango ya baade hasahasa kwa hawa Madefenders Berg na Ki-Jana kwani sioni maendeleo ya Gomez na Matip kisoka kutokana na Injuries zao za Mara kwa Mara.

Na vile vile nakiamini Kikosi chetu iwapo tu kitasalimika na injuries za more than 3 games kwa mchezaji yeyote yule wa FXI.

Lakini kutegemea kikosi Chembamba ni Risk linapokuja suala la injury na kuchoka kuanzia Jan - Feb.

Na ndiyomana nilipigie kelele sana kuhusu usajili wa kuongeza nguvu.

Hata hivyo bado kikosi chetu ni kizuri tu.

Kwahiyo wakati Klopp hana mpango wa Kusaini wacha nikubali matokeo tu.

Tutaonana Next summer coz sitegemei kama January atafanya usajili wowote.
 
IMG_5996.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom