he will get better...Hii hapa ichek
View attachment 1171134
Ktk utabiri wako naomba ufanye marekebisho kidogo huyo aliepo namba 2 mhamishie namba 4,na huyo aliyepo namba4 mhamishie namba3.Utabiri wangu msimamo wa msimu huu 2019/20
1) Man City
2) Liverpool
3) Man United
4) Arsenal
5) Spurs
6) Chelsea
Bado Arsenal tunahitaji chemistry hasa upande wa back line, uongoz unaondoa deadwoods , hivo malengo ya msimu huu ni top 4 , hivo bado inabidi tuwape nafas liver na man city ,walishapitia hizo transition period , ni ngumu kutoka hapo namba 1 na 2 , labda kuanzia msimu wa 2020/2021Ktk utabiri wako naomba ufanye marekebisho kidogo huyo aliepo namba 2 mhamishie namba 4,na huyo aliyepo namba4 mhamishie namba3.
Mane bado yupo likizo?
Arsenal alikuwa anaingia top four kwa sababu ya Wenger. Sasa Wenger hayupo kwa hiyo Arsenal rudisha namba 6 na Man U kati ya sajiri zote usajiri wa Wana Bissaka ndo usajiri utakaozaa matunda kwa hiyo Man U rudisha namba 5. Eriksen akibaki namba 4 ni ya Tottenham. Watatu waliobaki watagombania ubingwaUtabiri wangu msimamo wa msimu huu 2019/20
1) Man City
2) Liverpool
3) Man United
4) Arsenal
5) Spurs
6) Chelsea
Mpira una matokeo ya uwanjani, haina vitu vya kijingaBado Arsenal tunahitaji chemistry hasa upande wa back line, uongoz unaondoa deadwoods , hivo malengo ya msimu huu ni top 4 , hivo bado inabidi tuwape nafas liver na man city ,walishapitia hizo transition period , ni ngumu kutoka hapo namba 1 na 2 , labda kuanzia msimu wa 2020/2021
Mi nakujua wewe mzee wa maneno meengi. Ngoja uone mnavyohustle kuingia top 4Wewe tulia kama ulivyo, Liverpool ina point zetu sita kama sio nne.