Nitamshukuru sana Klopp akituwekea huyo dogo first team akawa anapata hata dakika chache EPLMy boy......Harry Wilson
No more loan,keep Harry.
HahahaHahahaaaa umenifurahisha maana naona Ollachuga na genge lake hawakauki humu....

Uefa kubeba tena mpka wanangu wamalize chuo Kikuku Harvard au Boston uko, imagine saiv wako nursery school. HahahahahaMkuu Ollachuga timu bora ni yule kidume wa wote bingwa wa Uefa Champions League...mpaka apatikane bngwa mpya Liverpool ndio baba yenu..![]()
![]()
![]()
😛
Matokeo yalikuwaje? Walifungwa tena???3 minutes gone & Moussa Dembélé provokes Alisson into a fatal error, winning a penalty that's converted by Depay. Lyon 1-0 Liverpool.
Nasikitika kwa nini Kepa au Allison hawapo kwenye hii tuzo wakati wamefanya makubwa tu ..
Kweli mze baba, moto utawashwa SK kitoto, watashinda mechi kna 10/15 ivi..baada ya hapo wakina Auba na magazeti wataridhika kabisa. HahahahaHahaha
Tunategemea arsenal iongoze mechi kumi za kwanza kama kawaida yake![]()
Arsenal ni genge flan la wahun liliomua kujiita timu 😆Kweli mze baba, moto utawashwa SK kitoto, watashinda mechi kna 10/15 ivi..baada ya hapo wakina Auba na magazeti wataridhika kabisa. Hahahaha
Nasikitika kwa nini Kepa au Allison hawapo kwenye hii tuzo wakati wamefanya makubwa tu ..
Msiposhuka daraja mwaka huu nipo ,Arsenal ni genge flan la wahun liliomua kujiita timu
Anyway nasubiri mapovu yao
Sio maneno yangu ni maneno ya Rene Higuita golikipa pekee wa Colombia aliefanya ile best Scorpion kick save..Nasikitika kwa nini Kepa au Allison hawapo kwenye hii tuzo wakati wamefanya makubwa tu ..
Hahaha mkuu mi sina timu mi mshabiki wa mpira mzuriMsiposhuka daraja mwaka huu nipo ,
Eti jirud na Abraham kinana ndio waongoze mashambulizi .... Nataraji kuona games 5 mkijipiga ban
Nilivyoona matokeo ya mechi ya chelsea jana nikajua walienda penalty.....Nasikitika kwa nini Kepa au Allison hawapo kwenye hii tuzo wakati wamefanya makubwa tu ..
Msimu ulioisha kwenye EPLNasikitika kwa nini Kepa au Allison hawapo kwenye hii tuzo wakati wamefanya makubwa tu ..
Ligi haijaanza tayari Arsenal inaongoza ligi...Hahaha
Tunategemea arsenal iongoze mechi kumi za kwanza kama kawaida yake![]()
HahahaLigi haijaanza tayari Arsenal inaongoza ligi...
Kama huamini kaangalie table
Umeifanya siku yangu iwe na furaha maana nimecheka sanaSio maneno yangu ni maneno ya Rene Higuita golikipa pekee wa Colombia aliefanya ile best Scorpion kick save..
Anasema...
"The most expensive goalkeeper that Real Madrid can't buy, Arsenal don't see him, Liverpool don't even know if he exist and that's who chelsea go and robbed much more money on"
HahahaaaaaMsimu ulioisha kwenye EPL
-
ALLISON RAMSES BECKER karuhusu goals 20 tu msimu mzima..
KEPA ANAZUBAAGA karuhusu goals 21 ndani ya mechi 10..
-
Msimu huu chelsea kushuka daraja ni suala la muda tu!
Kumbuka una jirudi na Abraham unataka wakupe 25+ goals hahhahahahahhahahahahahView attachment 1169123