hahahahahaha na wewe kubeba Uefa ni mpaka wanao wawe na wajukuu...😎😎Uefa kubeba tena mpka wanangu wamalize chuo Kikuku Harvard au Boston uko, imagine saiv wako nursery school. Hahahahaha
Klopp kwa vijembe tu.View attachment 1169223



Nimemuona huyu mtoto anajua balaa , Nina video yake mech ya juzi , huwez kuamin kama ana 16yrs , .Harvey Elliott ni new Bernardo Silva iwapo hatakumbwa na mkosi wa injury
Mbali na kuwa shabiki wa Arsenal, wewe ni shabiki kweli wa mpira.Nimemuona huyu mtoto anajua balaa , Nina video yake mech ya juzi , huwez kuamin kama ana 16yrs , .
Sisi ndi tulivyo mkuuMbali na kuwa shabiki wa Arsenal, wewe ni shabiki kweli wa mpira.
Ayo ni mawazo yake yaheshimiwe. Mimi na wewe tunajua kabisa Kepa ni Leno watano ni goli kipa bora kabisa mchanga mwenye umri mdogo.Sio maneno yangu ni maneno ya Rene Higuita golikipa pekee wa Colombia aliefanya ile best Scorpion kick save..
Anasema...
"The most expensive goalkeeper that Real Madrid can't buy, Arsenal don't see him, Liverpool don't even know if he exist and that's who chelsea go and robbed much more money on"
Lile pazie lenu hata Bakayoko analifunga kweli Arsenal tumepigwa.Umeifanya siku yangu iwe na furaha maana nimecheka sana
Hakika huyu Kepa wana Chelsea tumepigwa mchana kweupe
Unazungumzia Liverpool yenye mabeki bora? Ubora wa kipa unaonekana pale beki zinapokuwa mbovu. Em nipe takwimu ya Leno na Kepa na Allison chap, jifanye kama unajikuna..Msimu ulioisha kwenye EPL
-
ALLISON RAMSES BECKER karuhusu goals 20 tu msimu mzima..
KEPA ANAZUBAAGA karuhusu goals 21 ndani ya mechi 10..
-
Msimu huu chelsea kushuka daraja ni suala la muda tu!
Kumbuka una jirudi na Abraham unataka wakupe 25+ goals hahhahahahahhahahahahahView attachment 1169123
Hahahahahaa mzee hii ndo inawapaga kiburi..Ligi haijaanza tayari Arsenal inaongoza ligi...
Kama huamini kaangalie table