Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Good Job TAA kwa kumpunguza Sane
Hao ma admin wamesikia mkuu. Tupo tutawakumbusha!!Nyie Chelsea ifikapo October kama hamjaanza LampOut basi naomba MaAdmis wa JF wanipige Ban la maisha.
Hahaha huu utabiri utageuka kichwa chin miguu juu. Time will tell..Utabiri wangu msimamo wa msimu huu 2019/20
1) Man City
2) Liverpool
3) Man United
4) Arsenal
5) Spurs
6) Chelsea
Salah wacha hizo
Ila Salah Leo anawaficha![]()