Kuna jamaa humu kamkosoa, lohFab mnyama mwenyewe acha kabisa huyu mjamaaView attachment 1115463View attachment 1115464
Tena uwanja ule ule wa 2005 ISTANBUL. Klop kawaambia UEFA Body"We will be there!" Kazi kwao.Mwakani Liverpool wanaenda chukua kikombe cha uefa cha 7 tena!..hamia Liverpool tu hakuna namna sasa!...
TUAMBIE MWENYE TIMU NZURI ILIFIKA HATUA GANI KWENYE KOMBE HILI?Fainali ya vilaza kabisa
With cameroonian Joel matip our CBOur own african mansView attachment 1115476
Levo hizi za UCL sio za hao uliowataja mkuu..hao ni carabao n.kSemi final ilikuwa kali kuliko hii final ya jana. Mungekutana na timu kama man city au Chelsea tungeongea mengine leo.
Hongereni Sana.
#TukutaneSuperCup
hahaha tungekuwemo sana humu hatuhami..we are Liverpool..YNWAImeniuma kweli kweli
Ingetokea mistake jana matokeo yakawa kinyume sijui mngeeka wapi sura zenu kwa huu msimu
asante sana...HONGERENI SANA MLISTAHILI