Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tupo sawa kaka
Dakika 45 SPURS hawajafika kwetu
Huwezi badiri mfumo kama mpinzani hafiki kwenu
Sisi tumefika mara 7 kwao
Kama utakuwa ume note, livepool wanafanya makosa kwenye kukaba. Badala ya kuanzia kukaba pale mbele ya dimba wao wanaanzia kwenye half yao. Hii inapelekea Spurs kufika kwenye eneo letu kwa haraka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom