Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Thanks Aroon its been quite a hectic journey mpaka kuupata huu ubingwa bt at last we had th last laugh..Hongeren Liverpool, kwa kutwaa UCL ya 6
Never Say Die
Thanks Aroon its been quite a hectic journey mpaka kuupata huu ubingwa bt at last we had th last laugh..Hongeren Liverpool, kwa kutwaa UCL ya 6
Mangi Mangi mnazidi kuhamisha magoli ndugu...twende taratibu kwa sasa tupo kwenye sherehe hayo ya EPL tukirudi pre season ndio mipango inaanza rasmi..aluta continuaEPL ndio mtaisikia tu dadeki
hahaha tungekuwemo sana humu hatuhami..we are Liverpool..YNWA
hawa wachumbuzi ucwara za bongo ukiwasikiliza unaweza hata mechi usiangalie kamwe..ni rubbish kabisa binafsi sinaga muda wa kuwasikiliza...Kuna mtangazaji mmoja wa Ea radio kipindi cha Kipenga alisema "Liverpool hii ikipenya kwa Napoli (last game at FORTRESS ANFIELD) tutamuona fainali maana ndio mambo yake kwenye UEFA",. Sijanukuu exactly.
Popote alipo namwambia "He will never walk alone".
hahaha sisi Liverpool hua tunasema "1st is 1st 2nd is nothing" hivyo tungesonga mbele kama mwaka jana na kujipanga tena kwa ajili ya msimu mpya UCL...Mngekuwa mnafarijiana kwa lipi sijui manake mna imani nyie 😂
hahaha sisi Liverpool hua tunasema "1st is 1st 2nd is nothing" hivyo tungesonga mbele kama mwaka jana na kujipanga tena kwa ajili ya msimu mpya UCL...
Aisee sana.hawa wachumbuzi ucwara za bongo ukiwasikiliza unaweza hata mechi usiangalie kamwe..ni rubbish kabisa binafsi sinaga muda wa kuwasikiliza...
Liverpool yetu ilitabiriwa kutolewa kila hatua ya mtoano lakini bado tukapindua meza kibabe mpaka jana kuchukua kombe murwa sanaaaa
haswa ingekua hivyo huu uzi ungekua mweupe pee...kushabikia hii timu inabidi uwe na roho ngumu sana maana kuna kipindi cha kupand na kipindi cha kushuka...kwa sasa chini ya umiliki wa Fentway Group na Klopp tupo kwenye mikono salama sana..Ndio kitu kizuri kwenu...kukata tamaa sio sifa ya 'Mliverpool'
tumetoka mbali sana na Klopp unakumbuka wakati anakabidhiwa timu tulikua na mediocre players ila ndani ya kipindi kifupi na bila ku strech wamiliki amenunia smartly kila idara na kua kikosi anachohitaji...tumekomaa EPL zaidi ya gemu 6 tulishinda kwa margin ya goli moja..huo ni ukomavu ambao tumekua tukiulialia kwa muda sana..Aisee sana.
Kwa wachambuzi weeeengi wa bongo Liverpool ni timu ndogo kweli",.
Ila ndio ivo klopp anawadhihirishia yeye ni long term project",.
EPL tu sasa do or die toe-to-toe
tumetoka mbali sana na Klopp unakumbuka wakati anakabidhiwa timu tulikua na mediocre players ila ndani ya kipindi kifupi na bila ku strech wamiliki amenunia smartly kila idara na kua kikosi anachohitaji...tumekomaa EPL zaidi ya gemu 6 tulishinda kwa margin ya goli moja..huo ni ukomavu ambao tumekua tukiulialia kwa muda sana..Aisee sana.
Kwa wachambuzi weeeengi wa bongo Liverpool ni timu ndogo kweli",.
Ila ndio ivo klopp anawadhihirishia yeye ni long term project",.
EPL tu sasa do or die toe-to-toe
Kipindi lovren moreno clyne kolo mignolet first 11 sakho hahaha tulikua ka kina stoke tu, timu ikidefend deep ni kufungwa au droo.tumetoka mbali sana na Klopp unakumbuka wakati anakabidhiwa timu tulikua na mediocre players ila ndani ya kipindi kifupi na bila ku strech wamiliki amenunia smartly kila idara na kua kikosi anachohitaji...tumekomaa EPL zaidi ya gemu 6 tulishinda kwa margin ya goli moja..huo ni ukomavu ambao tumekua tukiulialia kwa muda sana..
hawa wachumbuzi wengi ni fans wa Chelsi, Manu,Arseno hivyo badala wafanye kazi wanakua.biased muda mwingi ona sasa walivyokula za uso...
cheki Garry Nevile au Carragher wao wakichambua wanaweka facts sio umbea kama hawa kwetu..
Klopp kupewa mkataba mpaka wa 2022 ni kwamba project yake bado iko kwenye laiti trak huu ushindi wa jana ni matunda ya smart investment na kwa kweli anapata sapoti kubwa sana kutoka kwa Head of recruitment, Chief scout na wengine wengi wanafanya kazi kama jopo na hii inampa nafasi ya kuchagua wachezaji ambao ana uhakika kutokana ma profile zao watazidi kuimarisha timu..kwa.mfano wachezaji wapya Allison, Fabihno wamekua na impact kubwa sana kutufikisha hapa tulipo..Shaqir japo kwa haraka utaona ni squad player ambae akipewa nafasi anaitendea haki bila kinyongo cha kutopangwa...Keita majeruhi yamemtembelea mno msimuu bt tunaamini next season il.be his seasonKipindi lovren moreno clyne kolo mignolet first 11 sakho hahaha tulikua ka kina stoke tu, timu ikidefend deep ni kufungwa au droo.
Tukianza na uchumi ametuweka pazuri.
Katumia gharama ndogo kwenye recruitment differ na timu kama City ila tumetoana mbio hapa kwa hapa mpaka mwisho.
Ameirudisha timu kwenye mstari wa kurudi kwenye ubabe wake",.
More to come,.
hahaha usinikumbushe straika Lambert, Baloteli yaaani ilikua timu ya ajabu sana wachezaji wa middle or end table ndio walikua tegemezi kwetu...Kipindi lovren moreno clyne kolo mignolet first 11 sakho hahaha tulikua ka kina stoke tu, timu ikidefend deep ni kufungwa au droo.
Tukianza na uchumi ametuweka pazuri.
Katumia gharama ndogo kwenye recruitment differ na timu kama City ila tumetoana mbio hapa kwa hapa mpaka mwisho.
Ameirudisha timu kwenye mstari wa kurudi kwenye ubabe wake",.
More to come,.
Msimu uliopita pale Kiev tuliukosa uchampion. Tulibaki wamoja Hadi tumebeba kombe Bora kabisa la vilabu Bora vya Ulaya.hahaha tungekuwemo sana humu hatuhami..we are Liverpool..YNWA