Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna mtangazaji mmoja wa Ea radio kipindi cha Kipenga alisema "Liverpool hii ikipenya kwa Napoli (last game at FORTRESS ANFIELD) tutamuona fainali maana ndio mambo yake kwenye UEFA",. Sijanukuu exactly.

Popote alipo namwambia "He will never walk alone".
Kama nitakuwa sijakosea anaitwa Justin Kessy
 
KLOPP OUT
KLOPP OUT
KLOPP OUT
KLOPP OUT
Mkuu uwe unajitambua nafikiri kuna shida kichwani mwako ndio tumeshinda UCL title lakini hao waliokuwa wanamsema klop ndio wamesaidia even Liverpool echo walianza kusema mido ya brexit sio ya ushindi
Poor management ya klop Jan - March ilitukost kukosa EPL title hata mwenyewe anakiri
1.upangaji kikosi wakati huo
2.kumtoa Cyclne kwa mkopo tukiwa na majeruhi wengi
Klop ni kocha wetu mzuri anapokosea lazima tumwambie watu hujifunza kutokana na makosa
Two straight finals tungepoteza Jana tungekuwa tumefali sana
Hongera sana wachezaji na benchi la ufundi THIS IS LIVERPOOL
 
Unapigia Mbuzi Gita?
Hivi wewe ulishawahi kuona KLOPP OUT humu licha ya kuwa tunamlalamikia?

Nakushauri sherehekea Ubingwa achana na Wateja wa MIREMBE mkuu.
 
U know better mkuu... Ajax mngewafunga kwa kuwazidi uzoefu ila fainali ingekuwa ya vuta-nkuvute na isingekuwa imedorora kama hii. Kweli mmeshinda ila fainali ni mbovu sana, spurs were shit.
Tumecheza fainali 2 kabla ya Jana
1.kumtoa Bayern ilikuwa final
2.kumtoa Barcelona ilikuwa final
Sasa tunacheza na Spurs ambayo kama Watford tu kwetu ulitegemea ushindani gani
 
Mkuu uwe unajitambua nafikiri kuna shida kichwani mwako ndio tumeshinda UCL title lakini hao waliokuwa wanamsema klop ndio wamesaidia even Liverpool echo walianza kusema mido ya brexit sio ya ushindi
Poor management ya klop Jan - March ilitukost kukosa EPL title hata mwenyewe anakiri
1.upangaji kikosi wakati huo
2.kumtoa Cyclne kwa mkopo tukiwa na majeruhi wengi
Klop ni kocha wetu mzuri anapokosea lazima tumwambie watu hujifunza kutokana na makosa
Two straight finals tungepoteza Jana tungekuwa tumefali sana
Hongera sana wachezaji na benchi la ufundi THIS IS LIVERPOOL
Klopp alipoteza 2013 na Bayern ya akina Ribbery na Robben wakiwa vijana,na Mueller kijana
Akapoteza na Madrid sababu ya kuumizwa Salah na upuuzi wa Karius lkn CR pia effect yake uwanjani
Sasa Spurs hawa how wamfunge Klopp?

Kuhusu Klopp OUT hapa ilikuwa movement ya kipuuzi tu yenye kutaka makombe ya haraka haraka bila kujenga team imara,team ambayo CD wako ni Kolo Toure na Srktel unategemea Klopp afanye nn?Tena na akina Moreno wake alikuwa anajitahidi kucheza hadi Yuropa final.

Klopp ni mwalimu bora kwa sasa hapa duniani,siwezi chukua kocha ambaye miaka karibia 10 sasa akikutana na wababe wenzake wanajipgia tu,lkn akikutana na Watford local cup hapo ndiyo utaona anavyo jitutumua
 
I WONT SWAP my Klopp with nobody,with nobody
Sasa anakwenda kwenye EPL na analipata
Toka points 27 nyuma 2018 hadi point 1 nyuma mwaka 2019
2020 May?
 
FAB FOUR European Cup Winners Bob Paisley, Joe Fagan, Rafa Benitez na Jürgen Klopp

IMG_20190602_073543.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom