Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Ahasante mkuu kwa kunisaidia nimetambua kumbe ni kichaaaachana na kichaa yule
Ahasante mkuu kwa kunisaidia nimetambua kumbe ni kichaaaachana na kichaa yule







mkuu leo tuna kazi moja tu ya kujipongeza kwa ushindi wa jana hizo complains nyingine ungeziacha kwanza fan mwenzangu!Klopp bila BUVAC hawezi shinda lolote
BUVAC ndiyo kichwa cha Klopp
Kaondoka basi Klopp ajiandae kufukuzwa tu
Upuuzi mtupu!
Embu sherekeen kwanza, acheni ya Mwinyi Zaheramkuu leo tuna kazi moja tu ya kujipongeza kwa ushindi wa jana hizo complains nyingine ungeziacha kwanza fan mwenzangu!

Ha ha haaa,ollachugaYani Angeshinda Spurs sijengi picha Ollachuga Oc na Genge lake la Chelsea wangehamia kivipi kwenye Uzi wenu.
Yule jamaa nahis nishabik wa man uPain killer kameza dawa za kuua maumivu, unfortunately zimeua ubongo.
Mtani nipo,YNWA!!!!
Dohhh!! Still worried?
Niko nae hapa Kavimba domoNaomba kupata updates za mlaji wa pilipili, hali ikoje huko?
Champions league hua haiachiwi mtu,ukifunga vigogo wote ndio unachukua ubingwa.liverpool ndio bingwa wa ulaya haitabadilika hioFinal ya kijinga kabisa,
Hata waliicheza pia nadhani ni viazii tu,
Haina mvuto,
Kweli nimeamin uefa tuwaachie hispania, kwa final kama hizi za kipuuzi, bora wawewanaangalia club za kufika final
Pumbavu sanaa
Kloop loose 6 final consecutively bila kupindisha maneno toka dortmund
2014,borrusi 0-buyern2. (german cup)
2015,borrusia 1-wolfubarg 3(german cup)
Badae akaja epl
2016,liverpool 1-man city 1(leagu cup) pelnaties, kina firmino na lalana walikosa
2016,liverpool 1-sevilla 3(europa)
2017,-no final
2018,liverpool 1-real madrid 3(uefa)
Kwa izoo record za final kloop anafika ila hachukui
So unategemea nin, kloop anamkosi trust me
Ndio anaenda kuonyesha ubabe kama sarri,
Ruksa,sasa ni mwendo wa suti zilizokua kabatini leo kuvaliwa!...🤣🤣🤣Ndugu zangu reds ufukuaji wa makaburi kama hivi si ni ruksa, hahaaa
Ule ndio ulikuwa mpira sasa sio hio final aiseeMkuu unakumbukumbu au unajitoa ufahamu Barcelona alipigwa na nani
Ingekua fainali nzuri km spurs wangeshinda!! Mpaka sasa ungekua unamsifia Son na Pochetino, au ulitaka wachezaji wavunjane mabega ndo iwe fainal bora?!! Sisi fainali tulishacheza na Barca, jana tulikua na sherehe ya kukabidhiwa ndoo tu.Final ya kijinga kabisa,
Hata waliicheza pia nadhani ni viazii tu,
Haina mvuto,
Kweli nimeamin uefa tuwaachie hispania, kwa final kama hizi za kipuuzi, bora wawewanaangalia club za kufika final
Pumbavu sanaa
Kutoka kupigwa tatu,nou camp mpk kua mabingwa,hakuna lisilowezekana chini ya jua 😆😆😍