MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
hatari, hahahahahahaKama Malafyale, hahahahhaha
hatari, hahahahahahaKama Malafyale, hahahahhaha
Kama Frankfurt unabanwa mbavu kwa Laca auba mtatokajeTutapiga nyingi sana pale...
Kwanza mjeruman anakubutua hapo hapo kwakoTutapiga nyingi sana pale...
binafsi ningependa mkutane fainali itakua bonge la gemu...Wanapitaje kwa mjeruman yule mwenye kina jovic na rebik?
Mkuu Chugga weka maneno ya akiba, bila shaka fainili futuhi ni Ganaz vs BlusTutapiga nyingi sana pale...
Man this great man was made for Reds and the Reds were made for Him...whats a treasure
Tokea niwaone Watu ninaowaamini Kwenye Huu Uzi kuanza Kujisifia Stats kuwa Tumemzidi Barcelona na ni Ushindi Kwetu Kumzidi kwa Stats ingawa katupiga TATU MTUNGI!!!! Imenifanya nikose hamu ya kuutembelea huu Uzi.

well said buttttt wt Klopp bana dont be surprised he wont even look at that angle come June of a serious number 10 like Fekir n.k...we lack that kind of creativity..I agree kuwa our our clinical finishing ipo chini sana, but ukiangalia kwa jicho la tatu ni kuwa creativity kwenye final third ni ndogo sana man.
we dont have a typical number 10, who can open up attacking spaces kwa fowards, and master those final through passes.
we have Keita/Ox/Shaqiri who can create from the MF, but they are not typical number 10's, ambao wanaweza ku-sit just behind the attacking line.
we need a number 10 (aina ya Fekir/Havertz/Maddison/Bruno etc) ambao wanaweza kucheza as 10 au false number 8s/9s, watatusaidia sana katika creativity.
we lack goals from MF, we lack the last push from the midfield, Mane/Salah/Firmino mara nyingi huwa wanatengeneza nafasi wenyewe, hasa tunapokuwa tunacheza na negative MF, and we all know kuwa players tulionao pale mbele ni good goal scorers but huwa wanahitaji a lot of chances ili kufunga, so kukosekana kwa creativity kunafanya chances zote ndogo pia, we rely so much kwa our FBs kutengeneza nafasi, and this should stop.
tunaweza kupata a good number 9 upfront, but hiyo itamaanisha Frimino arudi as 10, and recently Klopp tried to drop him there, and talks za chini chini kuhusu kuondoka from hiz agent zikaanza, hii ni kwasababu Bobby kwasasa anajiona kama complete 9, and ukweli ni kwamba Klopp wont ever drop him coz ni mchezaji ambaye ana umuhimu mkubwa sana katika every set up ya Klopp.
so we need to add a wide attacker (Werner/Pepe/Brandt etc), a 10 who can play as 9 or 8 (Fekir/Havertz/Maddison/Bruno etc), and tutakuwa tumesolve tatizo kubwa sana la creativity and goals.
i just dont know kinachoendelea kati ya Klopp and Shaqiri, but ukweli ni kwamba he's the only backup ambayo ina uwezo wa kuleta mabadiliko from the bench.
Hahaha ao vichekesho watapotea ni bora usiombe kufika fainali..Kama Frankfurt unabanwa mbavu kwa Laca auba mtatokaje
Mm najua kwanza Frankfurt hutoki,Hahaha ao vichekesho watapotea ni bora usiombe kufika fainali..
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
SIO Barca. MESSI.Hakukua na sababu ya kuiogopa Barca klop kaingia na woga uliompatia kipigo alipaswa kuanza na kikosi cha kawaida
braza nakufuatilia sana ila nimegundua na wewe una ka ego flani hivi kama klopp
Leo mnapigwa na Newcastle halaf sisi tunapumzisha kikosi kizima
Wewe Liverkuku tunakupiga hapo hapo AnifidiWewe labda unaota! Huyo Newcastle ni underdog ataenda kupigwa kichapo cha hasira huku babu yao Barcelona akisubiri kipigo chake cha mbwa mwizi hiyo jumanne.
Van Dijk: No one can stop him, not even me."
.
Wewe labda unaota! Huyo Newcastle ni underdog ataenda kupigwa kichapo cha hasira huku babu yao Barcelona akisubiri kipigo chake cha mbwa mwizi hiyo jumanne.
Basi poa bro haina shida! Tuseme tu Barcelona hatuwezi tumemzidi kwa kila kitu tena uwanjani kwake! Ball Possession, Shots tackles n.k. Yeye kabahatika kupata magoli tu lakini hana uwezo mbele yetu.
Kweli tunatisha tupo vizuri Majogoo.
hivi barca tukimpiga tatu bila matokeo ya extra time yanatakiwa yaweje ili tufuzu?Liverpool ni team ya aina yake, ni team yenye maajabu yake, uliza legend yeyote duniani atakueleza.
Liverpool ni team isiyotabirika na imekuwa aggressive sana hasa unapokuja kwenye mashindano ya mabingwa ulaya.
Sio tamaduni ya liverpool kutolewa nusu fainali, King of comeback ni Liverpool, Libery wa Bayern aliwah kukili kuwa moja ya uwanja asiopenda kucheza ni ANFIELD, ndomana kile kimsemo kinachosema "This is Anfield" hakijawah kuja kwa bahati mbaya, atmosphere ya Anfield ni zaidi ya jehanamu.
Tukutane jumanne hapa mtaenda kuniambia.