Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Hongeren Liverpool, kwa kutwaa UCL ya 6
Yani Angeshinda Spurs sijengi picha Ollachuga Oc na Genge lake la Chelsea wangehamia kivipi kwenye Uzi wenu.
Hongeren Liverpool, kwa kutwaa UCL ya 6


,you are amazing, You are a superstar!!!. You are a true legend and inspiration to all us.
)Nahisi sasa umeanza pole pole ile ahadi ya kumtukana mtu. 😀 😀Kuna K moja naona imeanza kuchafua hali ya hewa!
Ni kweli pacha. Twende ibadanii.It was boaring game nimejikuta nimelala na hivi ndo naangalia mwenyewe shida tupu!!! Hahahaha
Atakuwa hoi kwa Kula pilipili hoho na sio hizi za mwendokasiNaomba kupata updates za mlaji wa pilipili, hali ikoje huko?
achana na kichaa yuleNaomba kupata updates za mlaji wa pilipili, hali ikoje huko?
Kile ni kikundi cha waimba Ngonjera mkuu kwa sasaKuna Wale Manure
Wewe ndio wasema.. Hizo team za hispania zilijitoa zenyewe..??Final ya kijinga kabisa,
Hata waliicheza pia nadhani ni viazii tu,
Haina mvuto,
Kweli nimeamin uefa tuwaachie hispania, kwa final kama hizi za kipuuzi, bora wawewanaangalia club za kufika final
Pumbavu sanaa


barcelona angekuwa mzuri angefika fainaliWewe ndio wasema.. Hizo team za hispania zilijitoa zenyewe..??barcelona angekuwa mzuri angefika fainali



final gani ya vile mkuu
Wameshajichimbia mashimo hitowaona mkuuwale washirikina walioamini kuwa klopp anagundu na kila mechi za fainali leo tumewakata ngebe !
Wewe ndo mjinga sema tu unataka kujivika koti la kujuafinal gani ya vile mkuu
Mpaka unaamua kuchat na simu huku unaangalia mpira, nadhan mwakan hawazi ruhusu timu za england kufika final
Zimeonesha ujinga wao hadharan
Kama uliangalia mpira utakubaliana na mimWewe ndo mjinga sema tu unataka kujivika koti la kujua
What a compliment!Ooooooow, Fantastic news. Jana nilisinzia mkiwa 0-1
Congratulations on your well deserve victory!!!!!!!!
You are a CHAMPION,you are amazing, You are a superstar!!!. You are a true legend and inspiration to all us.
All your hard work, practice, commitment, prayers and all your efforts to improve your skills, have made you a Champion.
I am happy for your success.
chaliifrancisco
Don Clericuzio
pension
KING ngwaba
Malafyale
Ed n Edd nEddy
Manga ML
Et al
It's your time to pop open the champagne. Mchumia juani hulia kivulini. (You have wanted to win for a while)
Mkuu unakumbukumbu au unajitoa ufahamu Barcelona alipigwa na nanifinal gani ya vile mkuu
Mpaka unaamua kuchat na simu huku unaangalia mpira, nadhan mwakan hawazi ruhusu timu za england kufika final
Zimeonesha ujinga wao hadharan
Nikubaliane na ww katika nini?Kama uliangalia mpira utakubaliana na mim