Mkuu uwaganajiulizaga tusipo post sisi wenye timu nani mwingine atapost? It’s our team let support it.
Umerogwa?
Mzee baba bado uko na mambo ya Historia kwenye soka au umebasili msimamo??
Hahahahaa namjua sana jamaa yangu huyo "Liverpool asilia"Mkuu nazani hiyo ni jokes tu ,maana kelele za humu ndio zinakuwaga hivyo.tukipoteza mechi tu klopp out sasa kachukua kombe vipi?
Mkuu tu pia zooooooote.