koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,787
- 10,394
Hakuna namnaHahaaa...nilitegemea tu huyo kimeo atakutana na jibu kama hili![]()
Hakuna namnaHahaaa...nilitegemea tu huyo kimeo atakutana na jibu kama hili![]()
Kwa hiyo waliofungwa 2-0 ndiyo wamecheza mpira mzuri?Afadhali wewe umesema ukweli
Mkuu unataka tuitoe ile penalty iwe 1-0?
Shuti la kwanza Spurs golini kwa Liverpool ni dakika ya 70Kwa kuwa hujui madhara yaliyotokea kwa waxhezaji baada ya goli LA penati ndio mana unasema hivyo
Japo tumecheza mpira mbovu ila sisi ndio MABINGWA.
THIS IS LIVERPOOL
PEP ANAPASUKA ROHO KWA KUMWONA ASIYEMPENDA KACHUKUA UBINGWA KIULAINI KWA ALIYEMTOA KTK UEFA CHAMPIONS LEAGUE...



Shuti la kwanza Spurs golini kwa Liverpool ni dakika ya 70
Spurs wanacheza kama headless chicken ndiyo eti wamecheza vizuri

Sehem nilio furahia kwenye hii matchView attachment 1114700
Shuti la kwanza Spurs golini kwa Liverpool ni dakika ya 70
Spurs wanacheza kama headless chicken ndiyo eti wamecheza vizuri
Hata mimi. Madam @ Manengelo bila shaka alikuwa na mimiSehem nilio furahia kwenye hii matchView attachment 1114700
Klopp kudadeki mwalimu aisee
Alijua kabisa Spurs watakuja na playbook ya Man City,kawaacha tu lkn hamna kufika kwenye 18 yetu
Shuti lao la kwanza kulenga goli ni dakika ya 68
Defense yetu ndiyo bora Ulaya kwa sasa
shemeji nakusalimiaHongereni sana wakuu you deserved it,mmepambana kwa kweli.
Umerogwa?KLOPP OUT
KLOPP OUT
KLOPP OUT
KLOPP OUT