Dada tumisha anza maandalizi ya paredi mbiliSawa Pacha, wakichukua ubingwa sisi tutasuport Liverpool ya Malafyaleya King Ngwaba ni wasaliti.
Wasipo chukua ni singeli na vigodoro kama kawaida, nitakununulia na kijora.
Atakuwa hospital saiz yanatolewa
Hii katuni sijaielewa, hahahahah
Hatari sana tu
Du, kumbe tangazo? Nilijua ni yeye anapiga mneli

Mansour wonna buy his way thro to win th Champions league kumbe hajui money alone cant buy success...n also they wonna buy to win th EPL without this kind of helter skelter they are xperiencing now...City will throw £300m+ on Transfers now, reliable reports zinaonyesha kuwa wanakaribia kumalizana na Bruno Fernandes and they want Joao too. and thats the start.
we should try and do the same too, siyo kwa bugdet kama yao because hatuna, and we cant afford to sale our star players now, we just need to out-source pesa ya 2 good attacking players, a CB and backup LB/RB.
and, we'll just be fine.
hakika mkuu yamejimbiwa, hapa ni vijana wameshakua sasa na experience ya kucheza fainali ya tatu hivyo hii hapa utekelezaji tu...!
Haya sasa! Wasema Mungu sio Athumani..
Amejibu maombi yako mkuu...
Kazi mnayo pale bernabeu![]()
yeah Mkuu, Wanda twaeda kuchukua kombe.TUINOTE na hii mkuu
ndugu Aroon, Dully Jr hongereni sana kuingia fainali Futuhi...nani hayajui majogoo?
jamaa alikua anapiga sala kama zote hapo...Barca never xperienced that kind of atmosphere...
The real meaning of "you will never walk alone"
Du, kumbe tangazo? Nilijua ni yeye anapiga mneli![]()


