Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kwa pamoja tunaifanya EPL KUWA LIGI BORA ZAIDI ULIMWENGUNI KWA SASA MAANA KABLA YA MECHI ZA FAINALI HAZIJAPIGWA TAYARI WASHAJIHAKIKISHIA MAKOMBE MATATU KIBINDONI...........

UEFA,EUROPA, na SUPERCUP yaani mimi nafikiria wangewapa kabisa chama cha soka TFF ya england wayahifadhi hayo makombe watawapa wenyewe vijana wao.....

HONGERENI MAJOGOO
HONGERENI SPURS
HONGERENI CHELSEA
HONGERENI WASHIKA BUNDUKI

ila hongera kubwa sana pia ziende LONDON jiji lililoingiza timu 3 katika fainali hizi na mpaka sasa washaanza kupika pilau maana uhakika wa kutua makombe upo..........

kongole kongole kongole..........
 
.
Screenshot_20190510-144032_Instagram.jpeg
Screenshot_20190510-143614_Instagram.jpeg
 
kwa pamoja tunaifanya EPL KUWA LIGI BORA ZAIDI ULIMWENGUNI KWA SASA MAANA KABLA YA MECHI ZA FAINALI HAZIJAPIGWA TAYARI WASHAJIHAKIKISHIA MAKOMBE MATATU KIBINDONI...........

UEFA,EUROPA, na SUPERCUP yaani mimi nafikiria wangewapa kabisa chama cha soka TFF ya england wayahifadhi hayo makombe watawapa wenyewe vijana wao.....

HONGERENI MAJOGOO
HONGERENI SPURS
HONGERENI CHELSEA
HONGERENI WASHIKA BUNDUKI

ila hongera kubwa sana pia ziende LONDON jiji lililoingiza timu 3 katika fainali hizi na mpaka sasa washaanza kupika pilau maana uhakika wa kutua makombe upo..........

kongole kongole kongole..........

Huu ni mwaka wa London lakini titajitahidi sisi wa Kaskazini mwakani Tuingize Fainali tmu 3 Liverpool na Man City Fainali CL, Halafu tutahakikisha Manure Anabeba Uropa
 
Give the boy jersey number 5, then give Gini jersey number 7 and release James Milner to Leeds United.
That boy is a gem at defense.

Hapana! The only One who deserves to wear No 7 after Milner's retirement is Mo Salah.

Milner must end his playing career at Liverpool, He must be our legend

Sell Lovren, Lallana, Sturridge, Moreno, Hendo but not Milner.
 
√ Alisson must wear No 1
√ TAA No 2
√ Robbo No 3
√ Matip/Gomez/New CB No 5
√ Gini No 12
√ Fabinho No 6
√ Mo Salah No 7 (After Milliey retirement)
√ Origi No 11 (He must given a new contract)
 
Nani hamuogopi Lucas moura na Kane enyi matetea na uliza Tena Nani haogopi spurs #klop ana gundu mtakuja niambia
 
Tar 1 namuona klop akilia kwa kukosa kombe la uefa kwa Mara nyengine Tena
 
Looserfools mtapata mimba safari hii ila siyo ubingwa #tumeelewana wanyonge
 
NARUDIA TENA BILA UNAFIKI LIVERPOOL MSIMU HUU HAWATA CHUKUA KOMBE HATA LA MBUZI

Come back ni kwa ajiri ya kuwapoza tu hapo jumapili city atakapo chukua epl
 
Ila unagundu mkuu, kila ukitabiri unachemka, kila hatua tunapita
Weka nilipotabili mkapita,

Nilishaanzisha uzi kuwa liverpool msimu huu hamchukui kombe lolote

Mmefika tu final,

Nalijua gundu la klop toka dortmund hawez shinda final hata acheze na jiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom