Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wenye mahaba na Kocha mtumia pesa kibao na baguzi la rangi watakupinga
Mauricio Pochettino ni kocha, we fikiria PEP au Klopp angekuwa na timu kama hii ya spurs angeyapata haya matokeo?
Anachotakiwa tu sasa ni kuhamia kwenye timu yenye bajeti ya kutosha ili aonyeshe uwezo wake
 
pacha huku kuna Liverpool HALISI na Liverpool jina kama King Ngwaba.
Sasa mimi ni HALISI siwezi shabikia timu moja na Ngwaba.
Salama pacha, unaendeleaje?

Wewe kwa ulivyo ikiekwa Liverpool na Mkaa basi utakuwa upande wa Mkaa lakini sio Liverpool hata hao HALISI
 
Sawa Pacha, wakichukua ubingwa sisi tutasuport Liverpool ya Malafyale ya King Ngwaba ni wasaliti.
Wasipo chukua ni singeli na vigodoro kama kawaida, nitakununulia na kijora.

Siku zote ukiona Mwanga anakukubali ujue kuna sehemu hupo sahihi! Bora tulivyokuwa hatupo timu moja... Karibu uje utupe pongezi za Ubingwa Champion League
 
Wasikilizeni wachambuzi uchwara wa clouds fm,saiv nao wamehamia Liverpool,wakati jana walikua wanasema hawaoni lolote kwa Liverpool!..

Kwani Bongo kuna Wachambuzi? Mbona hao wote ni sawa na Shaffih Dauda tu hamna jipya.
 
Final against Madrid sikuwa na hofu kama hii final against spurs

Mkuu Spurs Hamna Kitu pale bado hajakutana na real test kwani kawa hyped baada ya kujipigia Real aliyejichokea.
Ni sawa na Timu Kumfunga Juventus au PSG ukampa promo wakati kwasasa ni timu zisizo na formula.

Spurs hana uwezo wa kutufunga kwenye EPL tuliyo na gundu, aje atufunge kwenye CL iliyo ndani ya damu yetu?
 
Mauricio Pochettino ni kocha, we fikiria PEP au Klopp angekuwa na timu kama hii ya spurs angeyapata haya matokeo?
Anachotakiwa tu sasa ni kuhamia kwenye timu yenye bajeti ya kutosha ili aonyeshe uwezo wake
Budget kubwa inaenda na demand kubwa pia, mpaka awe kwenye situation hiyo ndipo tutaweza kujudge.

Hapo alipo hana targets alizowekewa, achievement anazopata ni self driven.
 
Umewapatia kweli
hahaha!

hawa madogo tungekutana nao final tungewa-Porto vibaya sana aisee.

Spurs are quite a dangerous side. it's going to be a close call. tuliwapiga nje ndani kwenye EPL - granted - lakini except for the Wembley game, walipokuja Anfield it was very very very close....it could have gone either way.

Spurs will be coming into this final with the mentality like "twice shy.....thrice? hell NO!".

so Klopp needs to properly grill his charges with an appropriate attitude - that they are facing an injured side which is on a "vendetta" mission.
 
Huyu Lucas Moura nilimuona kwenye mechi ya kwanza uwanjani akipiga maombi marefu kabla mpira haujaanza. Nahisi ni mcha Mungu na Mungu kayasikia maombi yake
Yah yule Lucas ana Uchaji fuln wa Mungu hiv maana hua naona post zake insta jinsi anavyoandika. Na kuna hashtag fln za KiMungu hua anatembea nazo sana kweny post zake za intagram. Siyo bure, Mungu alikua upande wake akamwezesha jana
20190509_014648_rmscr.jpeg
 
Proud to be Red,what a perfomance...

without a complete front 3 th choosen one raised to th occasion with a mission impossible bt after 90+ minutes we had th LAST LAUGH...

Allison has brought stability at th back, n th defence coaches how done tremendous job wt th back line, how th RB/LB press ahead n stil do thier defence work is superb, VVD N MATIP whats a game they had, couldnt careless if th Catalan King ws there they just stood thier ground n dd thier job, kudos to th backline...

Shaqir th Alphine Messi twice hes has provided NEEDED ASSIST wen any other is falling..that is class n wt th pressure he has delivered saviour assisit...

Origi Arap Messi, am ordering th lad Jersey his timely goals this season are just Sweet, to score his 2nd jana ws superb, that instict n composure s what meks t special...he has made our season one never to forget..boy should be given a long term conract..still young n delivering wen t matters most...

all in all th boys, th kops dd thier job wt prideof knowinh THIS IS ANFIELD..

We are heading in th right direction, Klopp should be working on deals to have a proper squad come next season to challange all available to grab cups

Pep already wrapping his 1st deal for that Benfica young fella...

In Klopp we trust.

YNWA
City will throw £300m+ on Transfers now, reliable reports zinaonyesha kuwa wanakaribia kumalizana na Bruno Fernandes and they want Joao too. and thats the start.


we should try and do the same too, siyo kwa bugdet kama yao because hatuna, and we cant afford to sale our star players now, we just need to out-source pesa ya 2 good attacking players, a CB and backup LB/RB.

and, we'll just be fine.
 
Pochettino katoa machozi. Fainali watu wanabadilika. Approach ya EPL na UCL naamini ni tofauti hasa mtu anapoona kombe kutokea kwenye tunnels inaweza kumzubaisha akapiteza concentration au ikampa moto zaidi.

Finally timu zilizo tafuta kombe kwa muda mrefu kuna moja inaenda kucheka kuna nyingine inaenda kuongeza kilio. Sijui ngoja tusubiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom