Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umeandika kweli kweli, vipi kuna nyingine uliyoandika baada ya coming back ya jana?
Smh!

its my habit to not discuss the technical side of footie pale team yangu inaposhinda, because hata kama kuna errors/mistakes, ushindi huwa unaficha na kuyabeba makosa yote. and thats how it should be.

I can just write an article on how Klopp destoyed Valverde same tacticts alizotumia at Camp Nou, by simply attacking the Barca's fullback phases (1 and 2), and press from half spaces by using Shaqiri as false 3rd pressing MF upande wa kulia. but first and foremost, i'll need to celebrate our 4-0 win against Messi's Barca, with Divock Origi upfront. its just a simple logic dude.

and, its funny, because y'all wannabe fans always pops up team ikipata matokeo mazuri, kwa kisingizio cha kujiita "wasomaji tu".

there's is this old "smart" dude (), who once told me kujifunza kuwa 'humble". so i'll just let this pass.
 
Pochettino katoa machozi. Fainali watu wanabadilika. Approach ya EPL na UCL naamini ni tofauti hasa mtu anapoona kombe kutokea kwenye tunnels inaweza kumzubaisha akapiteza concentration au ikampa moto zaidi.

Finally timu zilizo tafuta kombe kwa muda mrefu kuna moja inaenda kucheka kuna nyingine inaenda kuongeza kilio. Sijui ngoja tusubiri.

Tulipoingia Final na Real Madrid watu Waliipa Nafasi ya ushindi Real Madrid kwa kigezo kuwa 'KLOP HAJAZOEA KUSHINDA MAKOMBE/FINALI'...

Sasa tumeingia Final na Pochetino Je Mutaipa Nafasi Liverpool kwa Kigezo cha Kuwa Pochetino hajazoea kushinda Makombe?

Sasa tutaona hapa kuwa uchambuzi wenu unabase kwenye Facts au huwa unabase kwenye mapenzi! Coz Poch hajawahi kushinda chochote.

We'll see pure double standard
 
hahahaha labda ashawahi kushinda njaa
 
Chanzo cha hizo kauli huwa ni kutokana na mara nyingi Klopp anakua na kikosi kizuri anaupiga mpira mwingi lakini matokeo yanakua mabaya na ndio maana wanasema hana bahati na makombe.

Final yenu sina cha kusema zaidi tuongee ukweli hizo kauli hazitakuwepo kwa sababu wameingia wote lazima apatikane mmoja kwa namna yoyote ile. Ila kama itatokea Spurs kachukua unadhani hizo kauli zitaisha? Hazitaisha kwa sababu nyie ndio the favourite kwenye fainali, mnapewa nafasi kubwa kuchukua. Lazima tutasema Klopp hana bahati.
 
Mkuu Spurs Hamna Kitu pale bado hajakutana na real test kwani kawa hyped baada ya kujipigia Real aliyejichokea.
Ni sawa na Timu Kumfunga Juventus au PSG ukampa promo wakati kwasasa ni timu zisizo na formula.

Spurs hana uwezo wa kutufunga kwenye EPL tuliyo na gundu, aje atufunge kwenye CL iliyo ndani ya damu yetu?

Kwangu sikuwa na hofu kabisa kuhusu Ajax

Spurs ni adui anayetujua nje ndani, tulivyocheza naye Anfield ni vile tu muda mwingine mpira ni bahati tukashinda

Both managers hawajashinda uefa
Both players hawajashinda uefa (not sure 100%)
Last season we end up second runner

Wote tuna angry & spirit ndo maana nina hofu
I bet 50/50
 
Kuna watu humu eti wanasema ni heri Ajax kuliko Spurs!! Acheni masihara na Ajax watoto wale nuksi, tangu hatua za makundi mpaka nusu fainal wamepambana na vigogo na kuwatoa.

Madogo hawa ni wabaya sana kwanza hatuna uzoefu nao, wangetusumbua sana.

Spurs ni team tunayoijua tunaweza kutake advantage kwenye hilo, ukijumlisha majeruhi waliyonayo nao inawezekana kabisa kuwauwa.

Kwakwel am happy spurs kupita, maana hawa Ajax kelele zilikuwa nyingi wangetuumiza nje ya uwanja kwa kupata public sympathy mpaka uwanjan wangepata support ya fans wengi hapo ingekuwa kaburi letu.
 
Kwangu sikuwa na hofu kabisa kuhusu Ajax

Spurs ni adui anayetujua nje ndani, tulivyocheza naye Anfield ni vile tu muda mwingine mpira ni bahati tukashinda

Both managers hawajashinda uefa
Both players hawajashinda uefa (not sure 100%)
Last season we end up second runner

Wote tuna angry & spirit ndo maana nina hofu
I bet 50/50
Fainali iliyopita Liverpool hakuwa na kipa mzuri,beki zilikuwa bado hazijaelewana kwa kiasi kikubwa, mtu kama fabinho ambae ameimarisha kiungo hakuwepo.

Hii ni Liverpool iliyoboreka zaidi kuliko ya msimu uliopita, spirit na team work ndivyo vilivyoifikisha hapa,kukosekana kwa salah na firmino hakujaathiri mechi dhidi ya barcelona.

Hata kwenye EPL wameweza kuvunja record yao ya points nyingi ndani ya msimu,ttz ni moja,wakati Liverpool imeboreka Man city nayo ni bora na ndio maana wameachana kwa alama moja hadi sasa.
 
Umefikiria wangekuwepo Mo & Bobby nini kingetokea?

Umezungumzia spirit & team work, & am talking the same thing

Ndo maana game naipa 50/50
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom