Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapana! The only One who deserves to wear No 7 after Milner's retirement is Mo Salah.

Milner must end his playing career at Liverpool, He must be our legend

Sell Lovren, Lallana, Sturridge, Moreno, Hendo but not Milner.
sisi halisi tunasema hapana tena HAPANA le capitain hauzwi kwa pesa yoyote HENDO anapaswa kuwa legend kama SG
 
Hapana! The only One who deserves to wear No 7 after Milner's retirement is Mo Salah.

Milner must end his playing career at Liverpool, He must be our legend

Sell Lovren, Lallana, Sturridge, Moreno, Hendo but not Milner.
man cant see Hendo being sold esp if we win something this season...
 
NARUDIA TENA BILA UNAFIKI LIVERPOOL MSIMU HUU HAWATA CHUKUA KOMBE HATA LA MBUZI

Come back ni kwa ajiri ya kuwapoza tu hapo jumapili city atakapo chukua epl
Mkuu pamoja na ramli zote ulizopiga watu haoooo tunacheka kila baada ya gemu..hamchoki na Liverpool hii..

narudia tena kwa wale wapiga ramli kutuombea mambaya mjiadae maumivu kwani mambo kwetu yanaelekea kuwa mazuri ni 1st June...
 
Hapana! The only One who deserves to wear No 7 after Milner's retirement is Mo Salah.

Milner must end his playing career at Liverpool, He must be our legend

Sell Lovren, Lallana, Sturridge, Moreno, Hendo but not Milner.

 😳😳😳

Henderson anazeekea Liverpool and He deserve, acheni chuki na Henderson
 
NARUDIA TENA BILA UNAFIKI LIVERPOOL MSIMU HUU HAWATA CHUKUA KOMBE HATA LA MBUZI

Come back ni kwa ajiri ya kuwapoza tu hapo jumapili city atakapo chukua epl
Pole sana ndugu,tunaanza kuchukua Epl j2,then 1 june Uefa then,super cup.
 
Wapiga ramli mnashida sana (manyumbu fc) kazi yenu msimu huu ni kuhama hama tu tokea napoli mpaka sasa mmefika kwa spurs
Nani hamuogopi Lucas moura na Kane enyi matetea na uliza Tena Nani haogopi spurs #klop ana gundu mtakuja niambia
 
Coutinho is being offered to clubs including LFC for around £65 mill..currently we have absolute no interest
 
Bloody hell I think our boys destroyed Barcelona’s team spirit. Reports of players just not even speaking to each other and shit. Literally destroyed them.
 
√ Alisson must wear No 1
√ TAA No 2
√ Robbo No 3
√ Matip/Gomez/New CB No 5
√ Gini No 12
√ Fabinho No 6
√ Mo Salah No 7 (After Milliey retirement)
√ Origi No 11 (He must given a new contract)

Man, Salah's iconic number ni 11,

him and the club had to beg Firmino amuachie number 11, hence Bobby switched to number 9.

Faby initially wanted number 2 (his lucky number) but Clyne hakuitoa, then he asked for number 6, pia Lovren haikuitoa, hence akaamua kuchukua number 3 for this season (dont know kama atabadilisha, but kama akibadilisha he'll go for 2 or 6, depends na situation ya Clyne and Lovren in the summer), but personally would like him to wear number 6.

Gini wont let go his iconic Agger/McManaman's number 5 (especially for number 12)

TAA/Gomez should change numbers (i agree)

(Gomez should ask for number 20 (if Lallana leaves), TAA should ask for number 18 (Moreno's leaving anyway)

kama Milner akiondoka, nadhan number 7 will be reserved kwa attacking player (mmoja wapo) atakayesainiwa this summer (Werner/Pepe or even Depay)

Origi should get Patrik Berger's number 15 (Sturridge will be off this summer).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom