Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Man, nakumbuka around January or February ulisema TAA is the best RB EPL now, nilikataa kimoyo moyo, nikawa sioni basis za kwa nini awe yeye.
Recently amekuwa na form moja ya ukweli sana, na jana ameendelea kunionesha kwa nini umempa hiyo ranking.
Naendelea kumfatilia aisee, he is a "wonder kid".
Nakumbuka Mara Nyingi huwa Nameate higher Huyu dogo lakini kwa kipindi hicho jamaa Walinipinga sana kufikia kumueka Clyne na Milner ahead of him.
Kama utafatilia Vizuri Mechi yoyote ambayo Hajacheza Huyu dogo basi huwa tunasuasua kwenye Matokeo (Ref: Vs Manure and Barca).
Huyu ndiye best creator wetu kwa sasa.
Dogo kwenye kulinda anahitaji Beki Makini tu wa Kucover nafasi Yake pale anaposhambulia.
Game anazoekwa bench huwa naumia sana.
Ni Mchezaji Pekee kwa Sasa ambaye ni Mzalendo anayeiwakilisha Merseyside.
Naamini Huyu ndiye our Future Captain iwapo Majeruhi hayatamtoa Mchezoni.