Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
LIVERPOOL MSIMU HUU HACHUKUI HATA KOMBE LA MBUZI
Ni swala la muda tu
Ni swala la muda tu
Mkuu AROON habari yako bana hahahahahahahahahHahaaaaa hongera sana mkuu
Umetumia kigezo gani kuandika hivyo hasa ukizingatia juhudi walizozifanya liverpool kufika walipofika walipo kweny ucl?LIVERPOOL MSIMU HUU HACHUKUI HATA KOMBE LA MBUZI
Ni swala la muda tu
Ni uwanja wa Atletico ndy utatumika fainalTulichokifanya ni kuokoa Aibu ya Kufunga Mwaka!
Hivi Barcelona kwenda kulichukua Kombe Ndani ya Barnabeu unadhani ingelikuwa ni jeuri gani hii mtakayowafanyia Real?
Shauri yenu ! Msiende madrid mrudi mnalia tuu..ningependa nikutane Spurs final kuliko mtoto mtukutu Ajax...
Ha ha ha kwa ewew utaambulia buku ya mb..,vijana Ni wapambanaji na wanastahili sifa Sana...tunatakiwa kusimama nao nyakati zote sio kukata kata tamaaa wakati Cha kupigania kipo.Na Mimi mkuuhii timu acha kabisaa wana roho saba
Hahaaaahaaa!loh!Jana kulipoa mnooo!!!kuna watu hawajala dakuuuHa ha ha kwa ewew utaambulia buku ya mb..,vijana Ni wapambanaji na wanastahili sifa Sana...tunatakiwa kusimama nao nyakati zote sio kukata kata tamaaa wakati Cha kupigania kipo.




Ha ha ha kwa ewew utaambulia buku ya mb..,vijana Ni wapambanaji na wanastahili sifa Sana...tunatakiwa kusimama nao nyakati zote sio kukata kata tamaaa wakati Cha kupigania kipo.
Shenzy kabisa yule dogo. Namzawadia binti yangu amuoe bila mahariDogo anajifanya yeye ni Muhuni kuliko Babazake waliopita!
Yani alijifanya kama anauwacha ule mpira na kutembea, Si Mabeki nao Wakafata move Yake! Ghafla kachange Motion karudi Fasta na Kuutupia Kwa Muuwaji![]()
![]()
Ahsante sana mwalimu Kashasha. Tutafutate tumalizie kiporo cha jana cha K Vant. Jana nilifakamia za kutosha mpaka nikasaza.Kwangu ndio tukio la kustaajabisha na zuri kwa mechi ya jana,hata sisi wa man u ilibidi tushangilie tu hakukuwa na namna. Kwako mzee wa K - vant....
Capten habari, mi nipo mkuuMangi upooooo....long tym
Hebu tulia kwanza tufurahi!..tukutane weekend tukiwa na Epl mkononiLIVERPOOL MSIMU HUU HACHUKUI HATA KOMBE LA MBUZI
Ni swala la muda tu
VIBWENGO VYOTE VIMEKATWA MIDOMO NA NDIMU MKATA SHOMBOYaani mpaka machozi yananitoka!
Hebu tulia kwanza tufurahi!..tukutane weekend tukiwa na Epl mkononi


jumapili mnakamilisha tu idadi ya michezo, harafu wakubwa wananyanyua epl Mkuu uko siriaz, au mahaba nipelekeLIVERPOOL MSIMU HUU HACHUKUI HATA KOMBE LA MBUZI
Ni swala la muda tu
ACHA UONGO , WEWE UNAWAONAJE VVD, MATIP NA FABINHO? BILA KUMSAHAU MZEE WA KUOKOTA HENDERSONMessi ndie sio mzuri kwa away games