goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,752
Uo ni ukwelDuuuh kwakweli siwez fananisha maumivu unayosikia..jana barca...leo ajax...daaaah...embu acha kushabikia mpira kwa muda
Uo ni ukwelDuuuh kwakweli siwez fananisha maumivu unayosikia..jana barca...leo ajax...daaaah...embu acha kushabikia mpira kwa muda
HahahahahahaUnafukua kaburi la Kanumba ili iweje? Lulu kashaachiwa huru kwa msamaha wa Amiri jeshi mkuu... na Amiri jeshi mkuu ndo mume wa huyo jamaa....






Mimi sijazoea matusi bana..Wewe jamaa mbona mwanaume halafu mbeya sana, acha unafiki
Ulikuwa unawacheka Liverpool humu, sasa hiv unauma na kupuliza,
Hebu acha ushoga basi
Muda wa kila timu kushinda kwake umekwisha ...sasa pale bernabeu Santiago tutashinda tena?pole na Messi wako hamkumwambia anakuja Anfield fortress si mahala salama kwa yeyote...
Pia inawezekana timu za england zikafanyiwa comeback europaKuna uwezekano mkubwa Europa na uefa zote zikaenda London!!
Maan vitu vya kuanzia jana mpka leo havikutarajiwa na wengi ...
Hahahaha sisi Chelsea Europa fainali tuningia bila jasho lolote lile...Pia inawezekana timu za england zikafanyiwa comeback europa
Muda wa kila timu kushinda kwake umekwisha ...sasa pale bernabeu Santiago tutashinda tena?
Ahaa wewe kama fan kindak ndak wa manure ..utakuwa upande gani apo?Ni uwanja wa Atletico..Wanda ndy utatumika
Hapo mimi sitaki yeyote ashindeAhaa wewe kama fan kindak ndak wa manure ..utakuwa upande gani apo?
Ili kaburi la aroon wakuu ..lifukuliwee![]()