Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Mzee baba sipati picha furaha yako ya jana kuona come back
Watu wanauliza comeback ya jana na Instbull 2005 ipi ni the bust
Ile ya Final ni undisputed mkuu, maana it was the ultimate game.
Hii ni tamu ila ile in tamu zaidi kwa sababu ilienda moja kwa moja kunyanyua ndoo.
