Nani anapenda kutembea uchi kariakoo?Alimradi usikamatike tu!
Yani unabadili Gia angani kimtindo.


Liverpool ipo juu mawinguni.
Nani anapenda kutembea uchi kariakoo?Alimradi usikamatike tu!
Yani unabadili Gia angani kimtindo.


¡Vamonos...Vamos![]()

kumbe ni wewe ulikua unatoa hii shule...upo vizuri sana mzee big upShida leo nipo hapa na Nimechaguliwa Kuandika RECAP.
Ushindi umenifanya nimechelewa mpaka kwenye Kikao ikanibi niingie kwa mlango wa Nyuma.![]()
View attachment 1091624
Na Mimi mkuuSiwezi kuongeza lolote ila tunaposemaga hatukati tamaa Hadi dakika ya mwisho muwe unatuelewa an mpira Ni dk 90 sio kutype type tu..
Cc:king ngwaba Ni pm namba yako nikutumie hela ya vocha kidogo ili urudishe matumaini.
#Thisisliverpool#
#inkloppwetrust#
#YNWA#



hii timu acha kabisaa wana roho sabaI can't waitNext week babe. Iko njiani inakuja.


weka namba ya salah nyuma

Kwenye mpira hukosi cha kujifunza kwa mpinzani kama anafanya vizuri.cesc fabregas:
Alexander-Arnold, 20 years old. People will tell me it’s bad defending, I’m telling you it’s pure intelligence and vision.
View attachment 1091630
kule kwetu bosi wetu ed woodward bado yupo usingizini na sifahamu ataamka muda gani, Don Clericuzio brother msimamo wangu hautabadilika mpaka dakika ya mwisho, siwezi kuwa na fikra kama walizonazo mashabiki wenzangu wa manchester united ya kwamba liverpool ni adui yetu asiyepaswa kuombewa mazuri.
nyinyi ndio munaotufundisha maana halisi ya neno team kwa sasa pale uingereza kwa sababu imewachukua miaka miwili tu kujenga timu yenye mtiririko unaoeleweka wakati kiupande wetu tunaingia mwaka wa saba huu na bado tunatafuta dawa ya kutibu nguvu za kiume.
nyakati za mwanzoni ligi ndio kwanza imeanza great thinker MosDef aliwahi kufanya mlinganisho wa wachezaji kwa kutumia vikosi vya timu kubwa tofauti pale uingereza, kiukweli nyakati zile sikumuelewa kabisa pale aliposema mlinzi wake bora wa kulia ni alexander arnold huku namba 6 bora ni fabinho baada ya fernandinho kama nitakuwa nipo sahihi.
sikumuelewa kwa sababu alimchagua fabinho haliyakuwa hajacheza hata mechi moja ya ligi kuu ya uingereza, kwa kile nilichokishuhudia jana kwenye televisheni yangu ya mbao nimejifunza ya kwamba kumbe nilikuwa mjinga nyakati zile.
You will never walk alone
Messi alibaki Spain nini![]()
Under the Sun,nothing happen without a reason.
Washapeleka msiba kwaoKuna watu walisema watakuja kusaidia kuanua matanga leo,wapo wapi hao watu leo!?
I can't waitweka namba ya salah nyuma
![]()
Maana halisi ya mtaka yote kwa pupa hukosa yote ni kwa kuku wa kishingo mwaka huu..Liverpool 0-4 Barca...
Next match Briton anamwagiwa magoli kama njugu...kilichobakia kwenu ni KULIIBA TU hakuna namna mkuu...
Nani anapenda kutembea uchi kariakoo?
Liverpool ipo juu mawinguni.
Maana halisi ya mtaka yote kwa pupa hukosa yote ni kwa kuku wa kishingo mwaka huu..Liverpool 0-4 Barca...
Next match Briton anamwagiwa magoli kama njugu...kilichobakia kwenu ni KULIIBA TU hakuna namna mkuu...
Breaking news: Lionel Mesi ameoneka leo asubuhi kwenye mitaa ya jiji la Liverpool akinywa kahawa.
Nani hamuogopi Messi humu ndani![]()
Hahaaaaa hongera sana mkuuShida leo nipo hapa na Nimechaguliwa Kuandika RECAP.
Ushindi umenifanya nimechelewa mpaka kwenye Kikao ikanibi niingie kwa mlango wa Nyuma.![]()
View attachment 1091624
Hahaaaaa hongera sana mkuu
Arsenal pigeni Valencia, tupunguze mdomo wa La Liga vs EPL kwa muda.
Maana jamaa wanatunyanyasa sana washabiki wa EPL.
Ila naona kabisa upepo unaanza kubadilika taratibu.