Wachawi kama nyie huwa wamkosekani dunianiHistory siku zote huwa inawahukumu Barca wakiwa away, sio wazuri sana! Kuku, hongereni kwa ushindi. Lakini hii haina maana kwamba mtachukua kombe hili, ukame wenu upo pale pale, jiandaeni Ajax anakuja kuwavunja mifupa. Tukutane Madrid...
Koment yangu ya kwanza nilisema baada ya kutoka .Kapiga u turn🤣🤣🤣🤣





Hongereni sana Aisee ila aliewafikisha Final ni huyu Dogo Arnold alichokifanya ni hatari kavizia wapinzani wanezubaa karusha kerbu![]()
Umesahau nusu fainali ya europa na dortmund hapo anfield.Oooh My God...
This is Anfield...
Baada ya Instabul, hatimae leo nimeona maajabu mengine..
Ndio hapo Mungu anakuambia unapokata tamaa kabisa,pray!..nimejifunza kitu ktk haya matokeo leo.ha ha haaaSiamini aiseee nilikata tamaaaa kbsaaaaaaaa
wapuuzi sana mie siwapendi, We are after trophies , let's go boys #YNWAam sure Barca haven't experienced anything like this before!!
U turn ya kibabe hadi simuelewi,
Hakuna uchawi hapo,Ni Mungu tu,bado Epl ni yetu,mtupishe njia tuLeo nimeamini uchawi upo.
Aisee