Unajua comments zako zinanichekesha sana, yaani mzee umebadili gia angani hadi nashindwa kukuelewaInamana uefa inaenda england
Unajua comments zako zinanichekesha sana, yaani mzee umebadili gia angani hadi nashindwa kukuelewaInamana uefa inaenda england
HahahhahahUnajua comments zako zinanichekesha sana, yaani mzee umebadili gia angani hadi nashindwa kukuelewa
Nilitaka Nami Muitaaa Anaonekana Yupo BizeeeKING NGWABA njoo tushangilie kaka hii timu ni yetu Brother
Unajua comments zako zinanichekesha sana, yaani mzee umebadili gia angani hadi nashindwa kukuelewa
sarah sasa yanaonekana madhaifu yake...maana huwa anatuleteaga nuksi tu kushinda hashindagi kukaba hakabi awe makini na nambaSalah huaga mzinguaji sana kwa game kubwa, ila dah Mungu mkubwa kwa hii come back duh. Hallelujah
U turn ya kibabe hadi simuelewi,Kapiga u turn🤣🤣🤣🤣