Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Naona mnapambana wenyewe kwa wenyewe cops
HahahahahahahahahHahahahahahahahahaaa kocha etu kapaniki mkuu..
Pale ata akiwa robot lazima atapwayaGini kapwaya kidogo pale kati, hii inamfanya Fabinho kutocheza vizuri.
Liverpool HALISI tuwe behind ya team,vijana wanapambana sana na matokeo yatakuja tu!
Waachieni LIVERPOOL FEKI waendelee kuitukana team!
Sisi tupo na Mungu ,Liverpool FEKI wapo na shetani

Hizo ni game plan. Kwa hiyo tumwachie Mwalimu anajua zaidi.Kama huna afya unakaaje bench,?
Liverpool HALISI tuwe behind ya team,vijana wanapambana sana na matokeo yatakuja tu!
Waachieni LIVERPOOL FEKI waendelee kuitukana team!
Sisi tupo na Mungu ,Liverpool FEKI wapo na shetani
Kilichoniuma mie sio goli, kilichoniuma kwanini kashangilia.. alisikika mlevi mmoja akisema
correct, but all day long that ball was for Matip to put in a toe (not even a tackle!).Japo hamsemi. VVD kept Suarez on side
Japo hamsemi. VVD kept Suarez on side