Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
Bado bao 3 kutoka kwa fundi Lionel Messi. Kuku leo mtataga kila aina ya mayai.
HahahaahaVijana wanapambana sana!
Liverpool HALISI tuwe nyuma ya vijana!
Mungu ibariki Liverpool
Bado bao la coutinhoBado bao 3 kutoka kwa fundi Lionel Messi. Kuku leo mtataga kila aina ya mayai.
Daaah wengine wala hawafuatilii issue za team wanajiandikia tu!Kocha mwenyewe kajichanganya kupanga timu unamuachaje nje Fermino na Alexander anord?
Unacheza defensive gema wakati Barcelona hawana beki .



Liverpool HALISI tuwe behind ya team,vijana wanapambana sana na matokeo yatakuja tu!
Waachieni LIVERPOOL FEKI waendelee kuitukana team!
Sisi tupo na Mungu ,Liverpool FEKI wapo na shetani


Kama huna afya unakaaje bench,?Daaah wengine wala hawafuatilii issue za team wanajiandikia tu!
Wewe unawajua hawa wachezaji wana afya gani?
Klopp knows kuliko wote hapa nani acheze nani asicheze
mkuu sisi Liverpool HALISI tunashinda banaaLiverpool HALISI tuwe behind ya team,vijana wanapambana sana na matokeo yatakuja tu!
Waachieni LIVERPOOL FEKI waendelee kuitukana team!
Sisi tupo na Mungu ,Liverpool FEKI wapo na shetani



achana na nao feki wasio na imani na Klopp wetu..Hahahahahahahahahaaa kocha etu kapaniki mkuu..Mechi rahisi hivi unamuacha nje Firmino