Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahahahahahahah hakuna kitu kizuri kama kuwa na Better team ,Strong team hauna presha kabisa Full Confidence muda wote.
 
Kesho Barca akitufunga basi naaomba nipigiwe life ban humu.

Ninaiamin team yangu, nimefatilia mechi zake zote msimu tofauti na misimu iliyonipita.

Added advantage ya wachezaj wetu wote ni kuwa wana defensive skills, yani si Mane, salah, Firmino mpaka backline wote wana uwezo mkubwa wa kukaba na kuzuia mashambulizi.

Funny thing, kule barca sijaona beki ya kuzuia mbwa mwitu wetu Salah Mane Firmino... Nakwambia tutaenda kupiga hawa wahuni wa Camp nou mpaka wachakae.

Nawahakikishia kuwa, Liverpool ndiyo team kubwa duniani kwa sasa, No one wants to face the reds. Tena na hivi tuna hasira za Man city kutuchefua huko EPL.
Kwa kuwa upo jukwaa la liver acha maneno yakutoke.
 
Mgonjwa akifa, mimi nyakubonga nitajitolea kirikuu cha kubebea maturubai,

Nitakodi waliaji wa kisasa

Na

Nitajitahidi kuwasihi wanandugu msiba usichukue mda mrefu maana marehemu alikua na mdomo sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom