Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwahesabu za harakaharaka majogoo tumeaga mashindano,nivigumu sana mechi ya marudiano kumpiga Barca 4 bila labda yule mwanga Mesi awe amekufa au amepata ulemavu wa kudumu.

Mkuu tumeturn table huko,impossible is nothing,tumemfunga barca 4 bila na messi wao kacheza mwanzo mwisho.na mechi iliyopita walipumzishwa kikosi chote vidal alicheza aliingia dak60. Wengine wote hawakucheza.lakini wamekufa pale anfield.never give up.in klopp we trust
 
Then what?
20190508_012249_rmscr-1.jpeg
 
Ha ha ha tumefungwa kihalali pia selection ya timu nayo imetuangusha lazima tukubal wana Liverpool wenzangu barca ipo juu zaidi yetu na tumeona zile kelele zetu toka mwaka Jana nakumbuka tulisema maneno ya kejel juu ya barca lakn ukwel timu za Spain huwa hatuziwez fuatilia final ya Europa chn ya huyu klopp tulipigwa final uefa Madrid akatupiga Leo semi final uefa barca anatuweka

Mkuu barca wakawaida sana tumewafunga 4 bila anfield na messi wao akiwepo,impossible is nothing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom