Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleni sana japo mlijiaminisha ujinga. Gemu vs Huddersfield mkajipa matumaini hewa ya kuifunga Barcelona.
Msipo kuwa makini kwenu mnakufa tena.

Mkuu tumeshinda huku,tumekuwa makini sana.tumewakalisha 4 bila
 
Hamna Mtu yoyote duniani aliyeamini kuwa tunaweza kumtoa barca baada ya zile goli 3 sio kocha,shabiki wala mchezaji Wa Liverpool aliye kuwa uwanjani
Baada ya kuona ile first game muda mwingi wali park bus niliamini Anfield tutawatoa ila niliamini tutawapiga 3-0, kisha tutaenda extra time na kufunga la nne wakati wa extra time. Kila niliyemwambia hizi habari liniona mi Kichaa
 
Jamani anayekataa kuwa Mungu hayupo si akili zake bali ni laana ndizo zinamsumbua.

Big up sana Liverpool kwa kudhihirisha duniani Mungu ni wa wote.
Mungu kawapiga hao,eti wanamuita messi mungu,katoka sayari nyingine,,wakati mtu katoka kijiji masikini huko,,Argentina.laana hizo.leo wameoneshwa kuna Mungu aliye juu,Muumba wa mbingu na na nchi
 
Nimewahi kuja kumpa uji mgonjwa maana Mtoa roho kamtembelea kamwambia J4 anakuja kutoa roho rasmi yaani kiufupi mpaka sasa hali ya mgonjwa mbaya nimeamua kumfariji
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahahaha mkuu AROON misiba kama hii hakunaga kulia maana marehemu alikuwa ni kibibi kilichozeeka sana ..hapa ni mwendo wa kufurahi mpka apo jumanne tutakapo kamilisha mazishi yake na kumpumzisha marehemu kwenye nyumba yake ya milele[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Safi sana Chifu, ngoja niangalie highlights jinsi Mungu muumba mbingu na nchi alivyowaaibisha Barcelona na mungu Mtu wao Messi[emoji1787][emoji1787]
Mungu kawapiga hao,eti wanamuita messi mungu,katoka sayari nyingine,,wakati mtu katoka kijiji masikini huko,,Argentina.laana hizo.leo wameoneshwa kuna Mungu aliye juu,Muumba wa mbingu na na nchi
 
Ukweli ni kwamba Liver walicheza vizuri. Tofauti ni kwamba kwenye viwango vya washambuliaji wa Liver na Barca. Huwezi kumlinganisha Suarez na Mane au Messi na Salah
Short on target za Liver 5 , Goals =0
Short on target za Barca 4, Goals 3
Hapo ndio tofauti

Leo vipi tunaweza kuwalonganisha,maana barca kafa 4 bila huku anfield.
 
Atupe kakombe japo kamoja wallah. Kama haka kameshafika mlangoni kabisa...

Coutinho atajuta kuondoka anfield na matako yake. Suarez akafie huko atakakozikwa.


Nyambaaaaaf!
Think we'll work this now


honestly, nilikuwa nishakata tamaa kabisa lol, football is just so cruel.


Barca ndiyo ilikuwa kizingiti kikubwa zaidi, and tumekipita.

cant See Ajax or Spurs, stopping us from winning this trophy now.

now, tuna Allison/VVD/Fabinho/Keita/Shaqiri and a fit Ox. wote watakuwepo kwenye final (Keita anaweza kumiss-out), but tumeongeza quality ya kutosha now.


we will win this year's CL.
 
kabla hata ya first leg pale Camp Nou, kuna jamaa (nadhani Manure yule) alianzisha thread na kutoa utabiri wake eti kina VVD & co wasingeweza kumdhibiti Messi.
nilipiga counter attack kwa kumkubalia kiaina - check screenshot hapa chini (3-4 aggregate Liverpool).... sexy, huh?

1091334
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom