Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kaz anayoweza klopp n kuwakumbatia wachezaj na kupunch upepo mwaka wa ngap huu hata kikombe cha UJI hakuna inaumiza sana kwa kweli
 
Hakukua na sababu ya kuiogopa Barca klop kaingia na woga uliompatia kipigo alipaswa kuanza na kikosi cha kawaida
 
Messi 2, Suarez 1 vs Liverpool 0

Mliwacheka Sana Man U mkaja na zile recordi zenu Mara Messi hajawahi funga Liverpool na kamwe hawezi.

Nawaonea huruma balaa. Matakavyokuwa na pressure, huku mnawaza ubingwa wa ligi. Kule Barca wanawaza Ucl tu.

Ila angalieni msikose vyote manake watu watapiga hema hapa mpaka msimu unaanza
 
Messi ni shida, Liver walikuwa wanaenda vizuri na karibu wasawazishe goli lile la Suarez ila Messi dk ya 75 kaanza mambo yake VVD alidhani mesi anaokoa kumbe anapeleka mpira golini kwa kifua na ile free kick, niliona kama inakuja upande niliokaa nje ya uwanja mara ikarudi kwenye angle na Alisson (combined with Degea na Kepa) wasingeweza kuufikia ile kick
Ngoja niwachekeshe, Lile goli la Suarez VVD alidhani Suarez anatoroka uwanjani kumbe alikuwa anaenda kufunga, hii mambo ya kudhania mbaya sana. Magoli yote mawili VVD angeweza kuyazuia ila basi tu, ile nishani ya FA sijui ndio imemlevya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom