Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1091315
 
Mechi ya kwanza Baada ya pale nou camp,nilisema kama tutapata goal dak10 za mwanzo tuta blow zeia my mind away without magic,kuna mtu akaniambia navuta bangi.

Nipo narudi kuitafuta hiyo post
Yule jamaa mtoa matusie cjui ataficha wapi sura yake,asirudi tena humu,alikua anaita watu wavuta bangi.sasa cjui leo kavutishwa yeye
 
WONT TOLERATE ANY WIJNALDUM SLANDER ON THIS PLATFORM.



LOOOOOOOOOOOOOOOOOOL


HOW CAN YOUR TEAM GET SCREWED BY ORIGI AND WIJNALDUM??????


HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAH



BACK TO BACK CL.


AND THIS TIME AROUND, WE'RE WALKING THAT TROPHY.
 
JURGEN NORBET KLOPP


TELL YOU WHAT? HE'S THE BEST MANAGER ON PLANET EARTH RIGHT NOW.


AND, ITS GOING TO STAY THAT WAY FOREVER.


THE BEST MANAGER TO EVER COACHED THIS BEAUTIFUL GAME.


PERIOD.
Atupe kakombe japo kamoja wallah. Kama haka kameshafika mlangoni kabisa...

Coutinho atajuta kuondoka anfield na matako yake. Suarez akafie huko atakakozikwa.


Nyambaaaaaf!
 
Ukome na kiherehere chako sasa sijui utaamia timu gani maana unahama timu hadi uhakikishe unapata kombe
Hahahaha hata nami huwa simwelewi huyu mtu, kwetu huwa anatukana hasa tunapokwama wakati mwingine basi ndo hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom