Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Malafyale kiongozi wetu wa liverpool KHALISI wewe ulituahidi tutabeba EUFA na EPL na mpaka sasa hatuna matumaini ya kubeba chohote apo. Tena ulitupa uhakika wa kwamba Klopp huwa akosei yeye anajua sokker mgt zaid yetu; tulivyotoa zile draw mfululizo wale Liverpool FEKI walimjia Klopp juu wakitamani ata kumla nyamalakini wewe Liverpool KHALISI ulikuwa upande wa klopp muda wote ...sasa mkuu maji yanaelekea kuzidi unga na ulichotuahidi hakina uwakika wa kutimia tena. Sisi followers wako tutaficha wapi sura zetu maana tulitamba mtaani kuwa tutapita na EPL na UEFA....

JE? Prezidaa tutapata chohote msimu ili tuendele kukuamini?

LIVERPOOL HALISI bado tupo pazuri wewe! Man City atadondosha points tu.
 
Liverpool HALISI tupo sawa sana!
Lovren ni beki wetu na tuna m support,Hendo ndiyo Captain wetu na tupo nyuma yake!
Watu wapo Kimbiji huko wanataka kutuonyesha kama wao wanajua soka menejimenti kuliko Klopp.
Upuuzi mtupu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaa
 
Ungekuwa na timu nzuri ungesumbua watu sana bahati mbaya timu unayoshabikia haina u tofauti na Maveterani Fc
Mkuu usijali hili kombe lenu tu, muda bado.... hahahahaha

Sasa hivi hamia uzi wa Leicester kuwalaumu kama ulivyohamia uzi wa United alivyopigwa na City kipindi kile

Unategemea timu nyingine ikushindie kombe, shinda mwenyewe..... EBO
 
Sisi tumekubali hatubebi chochote nyie mmepata nini ? Wenye timu bora
Huu ulikuwa ni mwaka wenu mzuri, kwa hiyo kutobeba I can imagine the pain you feeling right now

Jishindie kombe mwenyewe, usitegemee timu nyingine zikushindie
 
Kinachonishangaza sasa hivi mashabiki wa Arsenal, Manchester United wamekuwa kama Malaya wa Sinza kila mwanaume wanamtaka wao sasa hivi kila timu wanashabikia kama Mazezeta vile.
Jishindie kombe wewe mwenyewe

Usitegemee timu nyingine zikushindie EBO
 
IMG_5199.JPG
 
Umepanic braza Relax.. Nakukumbusha ww ulianza kwa Totts ukaja kwa Man utd then kwa Bunley leo ulikua Leicester.. huu wako tunaitaje ukiachana na lile jina la UKAHABA
Huyu atakuwa wa Uwanja fisi kabisa, tehetehe
 
wewe umesahau Klop alisema wazi majeruhi ya UTD yalifanya liverpool itoke kwenye game plans, wachezaji wa Liverpool walishikwa na bumbuwazi kuona UTD wachezaji wake wanaumia hovyohovyo
Hahahahaha.... Klop bhana

Hatakawia kusema Barca kutochezesha kikosi cha kwanza kwenye laliga ndio kumevuruga game plan yake
 
nachokiona hapa leicester hawana mpango wa kufunga goli lolote yaani wanacheza cheza tu,ila kinachonisikitisha hawa wenye uwanja naona wanatumia nguvu kubwa pasipo na mafanikio
Naona mmebana pumbu mpaka zimepasuka zenyewe just kidding bro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom