OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Malafyale kiongozi wetu wa liverpool KHALISI wewe ulituahidi tutabeba EUFA na EPL na mpaka sasa hatuna matumaini ya kubeba chohote apo. Tena ulitupa uhakika wa kwamba Klopp huwa akosei yeye anajua sokker mgt zaid yetu; tulivyotoa zile draw mfululizo wale Liverpool FEKI walimjia Klopp juu wakitamani ata kumla nyama
lakini wewe Liverpool KHALISI ulikuwa upande wa klopp muda wote ...sasa mkuu maji yanaelekea kuzidi unga na ulichotuahidi hakina uwakika wa kutimia tena. Sisi followers wako tutaficha wapi sura zetu maana tulitamba mtaani kuwa tutapita na EPL na UEFA....
JE? Prezidaa tutapata chohote msimu ili tuendele kukuamini?





lakini wewe Liverpool KHALISI ulikuwa upande wa klopp muda wote ...sasa mkuu maji yanaelekea kuzidi unga na ulichotuahidi hakina uwakika wa kutimia tena. Sisi followers wako tutaficha wapi sura zetu maana tulitamba mtaani kuwa tutapita na EPL na UEFA....JE? Prezidaa tutapata chohote msimu ili tuendele kukuamini?








