Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lile shuti/mkwaju/strike/dongo alopiga Kompany nashawishika kusema ni tittle winning strike, a fantastic one..

BUT this is EPL, nakumbuka Aguero alichomfanyia babu Fergie msimu wa 2011/12 (kama sijakosea), babu alishafungua Champagne kabisa kusherehekea ubingwa only for a plane to turn around to QPR stadium, City akapewa kombe lake..

Na hapo ilikua imewachukua City, 44 good years to lift their first EPL title..

*Malipo ni hapa hapa Duniani, let's wait for the 12th May, InshaAllah..

I still keep the hope alive.. Now on to MESSI
#YNWA
 
Ninasema kombe kombe mtalisikia tu kwa wenzenu, maana hakuna namna. 30 years counting.... Lazima mwaka huu ufe kwa presha wewe, tehetehetehe.....
Mkuu Mc cane khabari yako buana

Atusalimiani Siku hizi, tunakwepana mimi nipo bwana ...sisi Man United KHALISI Bado tubamkumbuka Mourihno aise..
 
Yani ukuta Mzima Wa Man City ni Laporte peke Yake ndiye Mwenye Uhai..

Lakini Otamendi, Jones na Walker ni uchochoro Wa kujipigia tu..

Sasa hapa tuwapatize kabla hajarudi Mendy na Fernandinho...

Na vile vile ni kwamba Bado KDB hajawa sawa Kutoka kwenye injury... Kwahiyo tuwapatize pia kabla KDB, Aguero na Silva hawajakaa sawa.

Coz si kwamba Guardiola kaishiwa mbinu! Bali Guardiola atabaki kuwa ni Best Coach in the World bali ni Majeruhi tu yamemuandama Kwa Wachezaji Wake.
Ngoja tufukue makaburi ya mwisho mwisho
 
bwana wee utamu wa ligi hii ndio hii matokeo usiyotarajia muda wowote yanatokea...

hata sisi hatupo salama kabisa esp hii Jan ndio maana Klopp hataki kua carried na ushindi na wengine kupoteza hivyo ndio Klopp anasema "we take one game at a time" ...

ToT ni kweli upepo wa ushindi wanao kwa sasa...

Nyinyi bila Straika wa uhakika mtazidi kupotea ndugu maana Morata, Girud sio tegemezi kwenye hizi mbio...

Tunashukuru kwa maombi yako tutajitahidi kutokuangusha.
Hili kaburi lilifukiwa vibaya ..ngoja tulifukue ili tufukie upya..

Hope hamjatuangusha
 
Yeah cha muhimu ni kushinda kwanza hii ya nyumbani vs Arsenal. Tukienda Ettihad Pep hawezi ku seat back kama alivyofanya alipokuja Anfield lazima atafunguka and hopefully hapo ndio atakuwa amefanya mistake tumpige hata tatu.
Hahahahaha
 
Game ambayo iko easily attainable ni ya Arsenal, City ni wagumu sana, tuanze kwanza kudili na Arsenal. Tukishinda hiyo game itakuwa na maana kwamba City tunakutana nao kukiwa na 7+ point differential, ambapo hata tukidroo tutakuwa bado tuko kwenye position nzuri vs Man City. Changamoto itayobaki ni Tottenham.
7+ na leo ni -1 ..kweli mulivyo draw mulikuwa kwenye position nzuri...
 
Ndio maana mimi nasisitiza kuwa hatutakiwi kuwa reluctant au carried away.

City by the start of December alikua anaongoza league kwa 2 points and 15 GD..

Leo hii within four game weeks yupo nafasi ya tatu tumeshamwacha 7 points with zero GD.

Things can change in a dramatic way, lets keep focused.

One game at a time.

YNWA.
Yeaa yeaa mick check one two one two...booongeee la kaburiiiiiii
 
Mkuu inawezekana na wala si uchawi au hukubali?

Ni si Man United tu bali timu yoyote Katika 19 tunazocheza nazo inaweza kutufunga.

Kuna mambo mpaka sasa nimejizuilia nisije nikameza maneno yangu.

1) Siwezi kusema Msimu huu hatutofungwa na Timu yoyote au timu Fulani.

2) Siwezi kusema kuwa Msimu huu lazima tubebe Ubingwa kwani kuongoza Points 6 si kuwa hatuwezi kufikiwa au kupitwa.


Mpira unadunda.
Wewe ulisema kweli ..

Mpira unadunda....
 
Tuna Challenge 3 tu zakuweza kuzifikiria kuhusu kutufunga Kwa sasa.

1) Man City (Etihad)
2) Man United (OT)
3) Everton (Godison)

Sasa hapo tukitoa sare tu na Man City basi test ya Everton nayo itashindwa kutufunga!
Hapo tutajiandaa Kwa Man United kwasababu ni NW Derby tuimalize hapo Kwa sare.
7 point dropped down..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom