Daaah so sad kwa sisi Liverpool KHALISI[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Comment ipo very cleared!View attachment 1089988
hapana mkuu tupo pamoja halisi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
relax broda, kafungwa Leicester City kwanini uteseke wewe??Mnataka kumpangia mtu lugha ya kuandika ,Simu yake ,Bando lake kwanini umpangie mtu cha kufanya ..........Cha muhimu wewe endelea kufurahia tu.
Kinachonishangaza sasa hivi mashabiki wa Arsenal, Manchester United wamekuwa kama Malaya wa Sinza kila mwanaume wanamtaka wao sasa hivi kila timu wanashabikia kama Mazezeta vile.Wamepata ile nafasi yao pendwa[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Nafasi ya ndoto yaoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hamu tena mkuu[emoji31][emoji31]Tukutane kesho Messi anawasubiri kwa hamu
Kinachonishangaza sasa hivi mashabiki wa Arsenal, Manchester United wamekuwa kama Malaya Sinza kila mwanaume wanamtaka wao sasa hivi kila timu wanashabikia kama Mazezeta vile.
Hahaha, mwenzio hatumwoni leo, mzee wa nani hayaogopi majogoo?
hahahahahaha yupo mkuu ila ametingwa na shughuli za kimaendeleo si unajua maendeleo hayana chama so tukikosa ubingwa hapa tusione aibu kwenda kule viunga vya emirates kusheherekea ubingwa wao wa europa....Hahaha, mwenzio hatumwoni leo, mzee wa nani hayaogopi majogoo?
isokee isokee everibad seyi yeeeahHahah.. i told u, na mm nimedondosheamo kizungu wasitutishe[emoji28][emoji28][emoji28]
huu ni UFUSKAUmepanic braza Relax..[emoji28][emoji28][emoji28] Nakukumbusha ww ulianza kwa Totts ukaja kwa Man utd then kwa Bunley leo ulikua Leicester.. huu wako tunaitaje ukiachana na lile jina la UKAHABA
Hahaha maveterani Fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungekuwa na timu nzuri ungesumbua watu sana bahati mbaya timu unayoshabikia haina u tofauti na Maveterani Fc
Itabidi mtutoe kimaso maso mashabiki wa EPL, mchukue hiyo ndoo angalau.hahahahahaha yupo mkuu ila ametingwa na shughuli za kimaendeleo si unajua maendeleo hayana chama so tukikosa ubingwa hapa tusione aibu kwenda kule viunga vya emirates kusheherekea ubingwa wao wa europa....
teamMAENDELEO_HAYANA_CHAMA
umesahau Barcelona hapoKinachonishangaza sasa hivi mashabiki wa Arsenal, Manchester United wamekuwa kama Malaya wa Sinza kila mwanaume wanamtaka wao sasa hivi kila timu wanashabikia kama Mazezeta vile.
hili lisikuwazishe mkuu andaa shangwe tuItabidi mtutoe kimaso maso mashabiki wa EPL, mchukue hiyo ndoo angalau.