Mzhokomi
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 232
- 167
NeverMake us dream Leicester.
NeverMake us dream Leicester.





hadi nioe na nipate mtoto ndy mtabeba eplnachokiona hapa leicester hawana mpango wa kufunga goli lolote yaani wanacheza cheza tu,ila kinachonisikitisha hawa wenye uwanja naona wanatumia nguvu kubwa pasipo na mafanikio![]()
SurelyThat is how The Skipper should act when the ship looks like losing direction.
Conglats to The Company.
Wacha kushitua wenzako subiri uishe tumeshapeleka vipimo kwa Sharia Ngowi baada ya dk 45tayr huku
Ungekuwa na timu nzuri ungesumbua watu sana bahati mbaya timu unayoshabikia haina u tofauti na Maveterani Fcushakuja na kukoment huku kabsa
Ungekuwa na timu nzuri ungesumbua watu sana bahati mbaya timu unayoshabikia haina u tofauti na Maveterani Fc
Jamaa anaongeaga point sana heheushakuja na kukoment huku kabsa
Mmeanza na kuwakataa wachezaj wenu poleni sanaRicardo, another RB who is miles better than Trent.
Na LeicesterPoleni sana Liverpool.
Points mlizodondosha kwa Man U, Man City, Everton na Westham leo mtazikumbuka.
Nyie chenu ni kipiHamna chenu,tukutane mwakani.Kamwene.