Ikhojo
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 527
- 448
Salah na filmino ni wagonjwa mzeewakati messi hakucheza mechi ya laliga wikiend iliyopita ili kujiandaa na mechi ya liverpool....wao liverpool wanawapumsha salah na filmino kwa kutocheza mechi ya kesho ili kujiandaa na mechi ya wolvers dahhhhhh hii dunia mbona kama inavibrate maana huku sio kuzunguka
Watakuja sasa hivi na vingereza vyao, kisa wanajua sisi tulikimbia umande![]()




tayr kishaaanza...ngoja tuliachie jukwaa lao tukajadili europaTatizo lenu huwa mnachonga sana.Sisi tumekubali hatubebi chochote nyie mmepata nini ? Wenye timu bora
wameanza mkuu PapupiKeep your heads high people.
the boys gave us a good fight against Rafa's Newcastle.
lets support them until the last drop.
if they still believe, the least we can do is to try and believe aswell.
Yes, We're trying to break the boulder with eggs now, but lets just beat Wolves this weekend.
Sio kuja na vingereza vyao nenda kasome kwa RASI SIMBA mkuu hahahahahahahahahWatakuja sasa hivi na vingereza vyao, kisa wanajua sisi tulikimbia umande![]()
mwaka wenu huu mkuuSisi tumekubali hatubebi chochote nyie mmepata nini ? Wenye timu bora
unajua behind the scene mkuu hilo ni pichapicha tu washajua kuwa ni kwishnehiy so hakuna kupoteza nguvu nyingi bora wawekeze nguvu epl kuliko uefa kama huamini kesho ataanza hendo,origi,xhakir ila gem ya wolves ataanza salah ,filmino na maneSalah na filmino ni wagonjwa mzee
Sawaaa lala SalamaNi yetu mpaka pale man CTY ataka drop point kwnye games alizobakiwa nazo
HahahahahaKashinda sifuri...ila Liverpool fans wana wakati mgumu huku ligi hawaielewi elewi halafu wanabarcelona at the same time....
Liverpool wamechanganyikiwa mkuuwakati messi hakucheza mechi ya laliga wikiend iliyopita ili kujiandaa na mechi ya liverpool....wao liverpool wanawapumsha salah na filmino kwa kutocheza mechi ya kesho ili kujiandaa na mechi ya wolvers dahhhhhh hii dunia mbona kama inavibrate maana huku sio kuzunguka



ulaya unashabikia liver alafu bongo upo makwasukwasu fc au vyura hahahahaha ramadhani kareeeeeeeem
Ameeen..Kikombe cha kesho kama kuna uwezekano Mungu atuepushe nacho, si kwa mapenzi yetu sisi bali iwe kama apendezwavyo.
Amen.



Hahahahahaha isije ikawa amevamia jukwaa tuWewe ni shabiki wa timu kwanza tuanzie hapo






hapana mkuu tupo pamoja halisi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehMzee wa LIVERPOOL HALISI naona umetugeuka mwishoniiiiii.
Wamepata ile nafasi yao pendwaSisi tumekubali hatubebi chochote nyie mmepata nini ? Wenye timu bora









