Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Vip kwani umepata mfadhaiko wa nafsi?

IMG_20181211_144652.jpg
 
Yani ukuta Mzima Wa Man City ni Laporte peke Yake ndiye Mwenye Uhai..

Lakini Otamendi, Jones na Walker ni uchochoro Wa kujipigia tu..

Sasa hapa tuwapatize kabla hajarudi Mendy na Fernandinho...

Na vile vile ni kwamba Bado KDB hajawa sawa Kutoka kwenye injury... Kwahiyo tuwapatize pia kabla KDB, Aguero na Silva hawajakaa sawa.

Coz si kwamba Guardiola kaishiwa mbinu! Bali Guardiola atabaki kuwa ni Best Coach in the World bali ni Majeruhi tu yamemuandama Kwa Wachezaji Wake.
mkuu Laporte ni bonge la beki, wanaomwangusha ni akina Otamendy n guys Delphi ni uchochoro nashindwa kuelewa timu nyingi huwa hawaoni weak link ya back four Mancty ni Delphi kwa sasa....

KDB na Silva ni pengo kwao mpaka washika rythm na Aguero pia sisi hao tumewaacha mbali...

Naamini Jan hii wataingia sokoni maana bila Fernaditho jamaa wanapwaya vimbaya sana na umri majeruhi nayo yanamwadama bila kusajili hivi vilpigo kwao zitaedelea...

hii kwetu ni "angels kiss" hivyo tukazane kupata pointi 3 kila mechi na tuzidi kuwaacha hukooo mbali kabisaa wakisusua maana siku wakikaa poa itakua 5G tena...
 
Delph jana kala straight red card, so hatakuwepo hiyo tarehe 3. Kama mendy hatakua bado hajapona sijui atamweka nani. Danilo may be?
 
Kuna Dogo flani hivi anaitwa Zincheko last season alikuwa akigaiwa Beki 3

Sasa kama hawajamtoa kwa loan, pengine atacheza yeye coz Mendy Ni Spana mkononi.
 
Kuna Dogo flani hivi anaitwa Zincheko last season alikuwa akigaiwa Beki 3

Sasa kama hawajamtoa kwa pengine atacheza yeye coz Mendy Ni Spana mkononi.
Ok, kama ni huyo atakuwepo coz jana nimeona jina hilo kwenye sub za man city
 
Moreno hakupaswa Kusema Maneno Haya!

Naona anataka kufuata Nyao za Sakho badala ya kuondoka LFC kama Legend.

"I disliked Klopp's decision because I was training but when I returned he only wanted Robertson.

"My relationship with Klopp hasn't changed but since this injury, I didn't have a meeting with him but our relationship is normal.

"I disliked the way that Klopp has treated me but I understand his situation that he can't change [Robertson] because the team is winning."
 
Huyo dogo auzwe tu kabla hajasambaza hiyo cancer aisee.
Stage tuliopo hatuhitaji kabisa mtu atuvurugie dressing room harmony iliyopo!
 
Moreno hakupaswa Kusema Maneno Haya!

Naona anataka kufuata Nyao za Sakho badala ya kuondoka LFC kama Legend.

"I disliked Klopp's decision because I was training but when I returned he only wanted Robertson.

"My relationship with Klopp hasn't changed but since this injury, I didn't have a meeting with him but our relationship is normal.

"I disliked the way that Klopp has treated me but I understand his situation that he can't change [Robertson] because the team is winning."

IMG_5980.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom