OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Wao 3 - sisi 0
Klopp out




Klopp out










Nadhani sasa umeelewa mkuu.Messi dah, tutakuwa tunawasimulia wanetu kwamba tulikutana na Messi.
HahaaaWao 3 - sisi 0
Klopp out![]()
Liverpool hatutapata kombe lolote chini ya Klopp
Hawa jamaa wakawaida sana next mechi tunashinda 4.0





asanteni kwa kushiriki sio Huddersfield hii.Usiniletee uchambuzi wako maandazi upeleke hukohuko mtaa wa 6Ndio mmelijua leo hilo
Alipokufikisha ni mbali.huwezi kulinganisha kops na Barca acha masihara. Ferguson mwenyewe alikubali. Mourinho hali kadhalika.Liverpool hatutapata kombe lolote chini ya Klopp
Naona kama Liverpool tunamaliza trophyless mwaka huu
Ametufikisha wapi CV ya kocha ni TROPHY onlyAlipokufikisha ni mbali.huwezi kulinganisha kops na Barca acha masihara. Ferguson mwenyewe alikubali. Mourinho hali kadhalika.
Hahahahahaahhaha acha nichekee mkuuu....Ametufikisha wapi CV ya kocha ni TROPHY only
Matokeao vp?Kila kheri wanaume wa shoka! Tupo pamoja nanyi. #YNWA
Nadhani sasa umeelewa mkuu.