Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ukifungwa bwana hadi mashabiki wenye timu mbovu - wanaona ndo wakati wa kupunguza machungu
#arsenal fans
#real madrid fans
#chelsea fans
#red devil fans
Nilisema kama nawaona hawa ndege aina ya kuku wakikosa kila kitu awamu hii tena.
 
Maswala ya kucheza vizur hayakupeleki fainali...mngekua mnacheza vizur hata kwapa la carabao lingeshanyanyuka...ni mapresha tu mnaeka kweny timu pinzan basiiii. Kwahy Liverpool anavyomfunga huddersfield wa watu 5 wanafikir barca wao nao ni hivyo
Ukweli ni kwamba Liver walicheza vizuri. Tofauti ni kwamba kwenye viwango vya washambuliaji wa Liver na Barca. Huwezi kumlinganisha Suarez na Mane au Messi na Salah
Short on target za Liver 5 , Goals =0
Short on target za Barca 4, Goals 3
Hapo ndio tofauti
 
0475f968-4e4c-4006-851a-7471953edf46.jpg

Hii ndo maana halisi ya MPENZI MTAZAMAJI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom