Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Coutinho goal was so good...and he has scored many goals from that area since he was at Liverpool.I think he is the only player whose probability of scoring from that area(Just right of the goal just behing the 18line) is very hign.He is still classic if you ask me...a top top player
 
Semi against Barca itakuwa ni very tough game...especially to us.Kinachonipa nguvu mimi kama fan ni kucheza second leg anfield...but kiukweli Messi na barca yake wamepania kubeba hili komne mwaka huu.
 
Man u ni DHAIFU (hapa mjadala ni mpana na sio forum yake).

Barcelona ya sasa haina mpira mkubwa kama ya miaka mitatu nyuma.Takwima za mechi ya jana pekee itaungana na kauli hii Man u ni DHAIFU.

We will show them how to deal with catalan giant.

Gary Neville: “Liverpool are a good side and have a lot more energy than this Barcelona team. They don’t have as much control or rhythm in midfield but I think certainly they can match them defensively and up top." .

YNWA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora tupewe Barca hao tena nilikuwa na hamu nao sana wahuni hawa! Messi na genge lake la wanyoa viduku wataenda kupigwa mpaka wachakae, ndani na nje.

Hii ni liverpool mpya, #ThisIsLiverpool.
Shida kwa manure ni hawana watu wakufunga pale mbele ambao ni threat kubwa, unlikely tuna front three itayo/inayowapasua vichwa barca kuanzia jana, i can predict that jordi alba hatapanda kama ilivokua kwa alaba na kimmich. from that point the only threat will be faby & messi battle at the half of our area

kote hakufai
 
Hendo iyo sio nafasi yake mpya,ila iyo ndio nafasi yake tokea enzi ya BR....akiwa BOX TO BOX huwa ana perform mnoo. Tatzo Klopp alipokuja alitaka ambadili awe DM (Number 6) hapo ndipo alipomharibu uyu mtu.
ukweli ni kwamba Hendo sikuhutaji abakie Anfield June hii, kwa sasa hii nafasi mpya kwake chini ya Klopp inaniwai ngumu sana kum rule maana ndogo ameonyesha anaweza B2B kwa perfomance hizi tatu ni dhahiri hii ndio namba yake sahihi kule kwingine mara HM or RB alikua anaonewa...
 
Shida kwa manure ni hawana watu wakufunga pale mbele ambao ni threat kubwa, unlikely tuna front three itayo/inayowapasua vichwa barca kuanzia jana, i can predict that jordi alba hatapanda kama ilivokua kwa alaba na kimmich. from that point the only threat will be faby & messi battle at the half of our area

kote hakufai

Mi nakwambia Liverpool ni bora zaidi kuliko team yoyote kwa sasa duniani.

Hawaamini wanachokiona, we have conquered all of Europe... Hii ni Liverpool mpya.
 
Mi nakwambia Liverpool ni bora zaidi kuliko team yoyote kwa sasa duniani.

Hawaamini wanachokiona, we have conquered all of Europe... Hii ni Liverpool mpya.
Ila jamaa nyie mna sifa, hamjashinda chochote lakini hayo majigambo duuh,

Hivi mkishinda itakuwaje?

Sent using simu mbovu
 
Uyu Klopp bhana sasa kwanini anaanza na Origi?cjui kawadharau Porto dah
 
Kuna Hawa Wachezaji Wa Media Kina Brewster wanazuia Maendeleo ya Baadhi ya Wachezaji wetu.
Kwamfano Mwisho wa Msimu Origi anaondoka kwasababu ya Hawa Waingereza wa Media.

Brewster is a very good player.

very good player.

anahitaji tu good man management.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom