Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

That is a great achievement kabisa,Kops tumefanya kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsi hua mostly Anfield aidha watupige au draw, kama sikosei hatujawafunga kwetu tangu 2012..

sasa jana wamekaa roho safi kabisa na clean sheet, kelele zote zimeisha..

Klopp amekua fkexible sana na mfumo na upangaji kikosi japo kachelewa kuyafanya haya mwishoni mwa msimu bado tuna nafasi ya kupata makombe mawili.
 
His assistant ameplay part kubwa sana see vile tumemtransform captain kutoka box to box defensive midfielder to attack role upfront imempa uhai sana kwa hizi game 3 so far he played

Sent using Jamii Forums mobile app
 
His assistant ameplay part kubwa sana see vile tumemtransform captain kutoka box to box defensive midfielder to attack role upfront imempa uhai sana kwa hizi game 3 so far he played

Sent using Jamii Forums mobile app
bwana wee, nilisoma Sky eti Hendo ndio alimuomba Klopp acheze box to box na Fabi acheze defensiv md..na Klopp akakumbali...

uzuri Hendo kwa hii nafasi yake mpya ni kama sio.yeye vile anajituma sana tu na akiedelea hivi msimu ujao tunae Le Captain hapa hapa Anfield..

whats matters now ni pointi 3 tu hata akicheza straika ni sawa lakini pointi 3 tubakie nazo...
 
Hahahaaaaaaa hakuna hofu ya zile back pass tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Kitu ambacho Klopp alikuwa Ananipa Headache ni Kumchezesha Hendo kwenye DM while kila mtu alikuwa akiona kwamba He is shit at that position.

Now tumepata Mtu sahihi wa hilo eneo FABINHO na Hendo amepelekwa anapostahili kuwepo.

So, Klopp sasa ndiyo amefanya good soccer management, Lakini hapo awali alikuwa na Bad soccer management kwa Kumchezesha Hendo at Six ingawa tuliomkosoa tulionekana tuna chuki na kocha na hatujui kitu.
 
Klopp kafanyia kazi malalamiko yako,Maana ulikuwa mstari wa mbele kumkosoa na Henderson wake.

Nadhani hii imekuwa mechi ya kwanza tumecheza 4-3-3 bila kuwa na midfielder wake wote anaowapangaga gini/hender/Milner.yaani kamuacha hendo tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sidhani kama unayoyasema ni kweli,
Tumedrop point v man u away
Everton away
W ham away na wote walisema kabla ya mchezo kuwa watapigana mpaka kufa ila hawaachi point 3.so far so good tupambane mpaka mwisho na kama tutakosa ubingwa basi ni ubora wa mshindani wetu man cty na sio mapungufu yetu
Kama sisi tulivyopania kumfunga Spurs na Chelsea nadhani na Man City watapania kumfunga Spurs na Manure.
Sioni nafasi ya kushinda EPL msimu huu...
Tulipata nafasi lakini tukashindwa kuitumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Think Klopp ameshamuamini Fabinho kwa Big games Coz against Bayern, Spurs and last night against Chelsea ameperform well.
Now its crazy kumuweka bench katika big games wakati Jana amewafanya Kante na Joginho kuwa Wazururaji.

Sasa hivi fabihno amesha kopy mfumo,watu tulikuwa tuna laumu tu mbona yuko nje hata kama afiti bado na utaratibu wa uchezaji tunataka acheze tu.

Sasa tunaanza kumuelewa klopp.mechi ya kwanza na Bayern alicheza beki alifanya vizuri sana na mechi ya pili kipindi cha kwanza tulizidiwa mpaka akapewa kadi tulivyorudi kipindi cha pili nikakubali,maana alibadilika kabisa yaani pale kati dimba lote anamiliki yeye.

In klopp we trust.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama sisi tulivyopania kumfunga Spurs na Chelsea nadhani na Man City watapania kumfunga Spurs na Manure.
Sioni nafasi ya kushinda EPL msimu huu...
Tulipata nafasi lakini tukashindwa kuitumia.

Spurs na manure watapania pia iliwabaki top 4.

Let wait and see mkuu,ila Liverpool msimu huu anasifa za kuwa bingwa. Anamaliza ligi kafungwa mechi 1 tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sidhani kama unayoyasema ni kweli,
Tumedrop point v man u away
Everton away
W ham away na wote walisema kabla ya mchezo kuwa watapigana mpaka kufa ila hawaachi point 3.so far so good tupambane mpaka mwisho na kama tutakosa ubingwa basi ni ubora wa mshindani wetu man cty na sio mapungufu yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleza kila kitu kabisa msimu huu

Labda nikuulize umekusudia kupinga nini au kukubali nini?
Au unakosoa nini?
Ulichoandika kina uhusiano gani na nilichoandika Mimi?
Nini mantiki ya Post yako hii?
Je unajuwa umemquote Mtu wa aina gani?
Hivi kuna usahihi gani wa kuhalalisha kudraw kwetu na Everton, West Ham na Leicester ?
Kumfunga Spurs na Leicester Away ni Sawa, Then Kundraw na Leicester Anfield, West Ham Away pia ni sawa! Which is which?
Dhana ya Mpambanaji ni Kushinda Kila Mchezo, Au ni kuridhika Kutoa draw na Relegators (Westham)?

Mshabiki wa Kweli ni Yule anaeumia na Kujilaumu kudrop points kwa Mechi yoyote ile regardless Home or Away.

Sio Ujifariji eti umetoka sare na Westham, Everton na Manure!
Hivi kweli Mtu anayetaka ubingwa anaweza thubutu kujifariji na kujiridhisha kuwa ni sawa kutoka sare na Westham?????? Just Westham tu?????? Umenidisappoint sana bro kwa kuhisi tulikuwa sahihi kutoka sare na Kajigenge cha Westham na Everton.
 
Sasa hivi fabihno amesha kopy mfumo,watu tulikuwa tuna laumu tu mbona yuko nje hata kama afiti bado na utaratibu wa uchezaji tunataka acheze tu.

Sasa tunaanza kumuelewa klopp.mechi ya kwanza na Bayern alicheza beki alifanya vizuri sana na mechi ya pili kipindi cha kwanza tulizidiwa mpaka akapewa kadi tulivyorudi kipindi cha pili nikakubali,maana alibadilika kabisa yaani pale kati dimba lote anamiliki yeye.

In klopp we trust.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mkuu Klopp hakuwa sahihi kwani Hakuna mchezaji anayeadapt mchezo akiwa Kwenye Bench, Bali kuwa uwanjani na kugain game time ndiyo kuna mpa Muda wa Kuadapt na Mchezo.
Fabinho tokea alipokuja Liverpool alikuwa na uwezo na si kuwa hakukopi Mchezo.

Kumbuka game ya Bayern ya Away Alimueka bench mpaka kaumia Hendo ndiyo kamuingiza.. Sasa hapo Kusema ulimuelewa itakuwa unamuelewa kwenye maamuzi na si Kwenye maamuzi sahihi.

Wengi tuliokuwa tunaujua uwezo wa Fabinho alipokuwa Monaco basi hatukumuelewa Klopp kumueka Benchi kwa kisingizio cha kuwa Hajaadapt mpira wa EPL kwasababu tulijua kuwa hayupo sahihi na Ndiyomana alikuwa akiona Bali imeshakuwa ngumu anamuingiza.

Na amini usiamini Fabinho amecheza Jana kwasababu tu Hendo kahamishiwa Kwenye Ushambuliaji (AM).. Lakini Hendo angelikuwa bado anacheza kwenye DM basi Fabinho angeishia Bench.

Bro Klopp hakuwa sahihi unless umeridhika kugombania ubingwa na so kuchukuwa Ubingwa.
 
Spurs na manure watapania pia iliwabaki top 4.

Let wait and see mkuu,ila Liverpool msimu huu anasifa za kuwa bingwa. Anamaliza ligi kafungwa mechi 1 tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ungelisema Liverpool anao uwezo as Kichukuwa Ubingwa basi Ningelikuelewa vizuri zaidi.

Coz kila timu ina sifa ya Kuchukuwa Ubingwa, Lakini si kila timu ina uwezo wa Kuchukuwa Ubingwa.

Sasa kama Timu yetu ina uwezo wa kuchukuwa Ubingwa na Tukaukosa basi tujiulize tuliteleza wapi mpaka tukaukosa ubingwa tuliokuwa na uwezo nao kuubeba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom