The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,433
Kwann utoleee mfano Man U?
Ndio maana hua naamua kuhama hata ligi kwa mambo ya kifala fala either body au managers haka kaklopp sijawahi kaamini mazima, I declare interests, mimi ni shabiki glory hunter hua nasapoti timu ifanyapo vizuri kwa wachezaji sahihi& husapoti pia timu ikiteleza endapo imeweka kikosi serious, kwa upande mwingine hua nakua mbogo kikosi cha hovyo hovyo kikianzishwa hata kama kitashinda kwani furaha yangu mimi ni ushindi na mpira wa kulemaza timu pinzani jambo ambalo kwa liver ni tamaduni tunakupigia mpira wa hatari na magoli tunakutambaliza. Kwa mtindo huu barca atarenew kipigo kama cha man u
kote hakufai