Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naaam
Screenshot_20190417-212420_Google.jpeg
Screenshot_20190417-212430_Google.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu Klopp bhana sasa kwanini anaanza na Origi?cjui kawadharau Porto dah

Mimi Baada ya kumuona nikawa najiuliza hivi tunacheza uefa au fa .klopp anazingua wachezaji kibao wapo nje ,unampanga huyo dah.ngoja tuone.
Mashabiki hatutaki pressure,tumalize biashara mapema

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Porto XI: Casillas, Militao, Felipe, Pepe, Alex Telles, Corona, Danilo, Herrera, Brahimi, Otavio, Marega

Subs: Vana, Maxi, Bruno Costa, Oliver, Andre Pereira, Soares, Fernando Andrade

Liverpool XI: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Wijnaldum, Salah, Mane, Milner, Origi

Subs: Mignolet, Keita, Firmino, Gomez, Henderson, Shaqiri, Sturridge
 
Ubora wa timu katika ligi au mashindano yoyote unapimwaje?

Kucheza fainali uefa au kuchukua kabisa.

Uefa ndio ligi ya mabingwa ,mabingwa wote wapo hapo .

Unaweza ukachukua ligi ya ujerumani ukaonekana bora ukija uefa unaonekana underdog,ukichukua ligi ya italia ukija uefa unachezea za mbavu.

Uefa ukichukua ndio kipimo au hata ucheze fainali tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ukweli ni kwamba Hendo sikuhutaji abakie Anfield June hii, kwa sasa hii nafasi mpya kwake chini ya Klopp inaniwai ngumu sana kum rule maana ndogo ameonyesha anaweza B2B kwa perfomance hizi tatu ni dhahiri hii ndio namba yake sahihi kule kwingine mara HM or RB alikua anaonewa...

Upepo utakata tu, ataflop.

Mimi ningetamani hata akibaki asiwe captain, sema ndiyo haiwezekani.
 
Huyu origi sasahana pace
Porto XI: Casillas, Militao, Felipe, Pepe, Alex Telles, Corona, Danilo, Herrera, Brahimi, Otavio, Marega

Subs: Vana, Maxi, Bruno Costa, Oliver, Andre Pereira, Soares, Fernando Andrade

Liverpool XI: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Wijnaldum, Salah, Mane, Milner, Origi

Subs: Mignolet, Keita, Firmino, Gomez, Henderson, Shaqiri, Sturridge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Porto XI: Casillas, Militao, Felipe, Pepe, Alex Telles, Corona, Danilo, Herrera, Brahimi, Otavio, Marega

Subs: Vana, Maxi, Bruno Costa, Oliver, Andre Pereira, Soares, Fernando Andrade

Liverpool XI: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Wijnaldum, Salah, Mane, Milner, Origi

Subs: Mignolet, Keita, Firmino, Gomez, Henderson, Shaqiri, Sturridge

Hiki kikosi sijakielewa.

Hili kosa la kudharau mechi linaweza kutugharimu.
 
Hivi kwanini nafasi ya kiungo hapo liverpool ni pasua kichwa,
A, ni kwamba kuna mafundi wengi sana
B, kuna mapoyoyo tu hence rotation
C, ni game plan ya kocha?
Kwa mwendo huu naona hata manshit akipoteza game moja ubingwa atachukua tu, haiwezekani unapopata chemistry nzuri unaipangua with mere reasons, hapa ndo klopp nakutaga anazingua ina maana vs barca pia tutegemee vikosi tofauti? anyway si tunataka ushindi but soka la kuvutia ndilo huvutia mashabiki kuipenda timu sio vululu vululu, johann cruyf anasema kushinda kwa soka bovu ni useless kwa mashabiki, ushabiki bwana muda mwingine unaumia kuliko timu na wachezaji wake pamoja na kocha?

kote hakufai
 
mkuu siunawajua waingereza bwana

yaani Man Utd na sisi tunaumia sana na harakati zao za uzawa
 
Porto XI: Casillas, Militao, Felipe, Pepe, Alex Telles, Corona, Danilo, Herrera, Brahimi, Otavio, Marega

Subs: Vana, Maxi, Bruno Costa, Oliver, Andre Pereira, Soares, Fernando Andrade

Liverpool XI: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Wijnaldum, Salah, Mane, Milner, Origi

Subs: Mignolet, Keita, Firmino, Gomez, Henderson, Shaqiri, Sturridge
Huyu kocha huyu...labda ana uelewa mzur kuhusu timu pinzan ila kudharau dharau mambo nako cyo. City hata akichenza na lincolin city, anapanga kikos cha kazi. Mna mech gan ngumu epl nyie
 
Ndio maana hua naamua kuhama hata ligi kwa mambo ya kifala fala either body au managers haka kaklopp sijawahi kaamini mazima, I declare interests, mimi ni shabiki glory hunter hua nasapoti timu ifanyapo vizuri kwa wachezaji sahihi& husapoti pia timu ikiteleza endapo imeweka kikosi serious, kwa upande mwingine hua nakua mbogo kikosi cha hovyo hovyo kikianzishwa hata kama kitashinda kwani furaha yangu mimi ni ushindi na mpira wa kulemaza timu pinzani jambo ambalo kwa liver ni tamaduni tunakupigia mpira wa hatari na magoli tunakutambaliza. Kwa mtindo huu barca atarenew kipigo kama cha man u
Huyu kocha huyu...labda ana uelewa mzur kuhusu timu pinzan ila kudharau dharau mambo nako cyo. City hata akichenza na lincolin city, anapanga kikos cha kazi. Mna mech gan ngumu epl nyie

kote hakufai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom