Was CHO good today?
We’ve got a firm interest..
But i dont know what Edwards na Klopp wanachofikiria, maanake, there is no way Chelsea will sell him to us, no way.
I know we want Thorgan as well, but Brandt/Pepe/Neres/Bruno/Maddison will be good options too.
Can see Utd, paying £100m for Sancho.
Yeah... Klopp nimemvulia kofia...
Ila goli la Salah leo, kama kuna wanandoa walikuwa wanapeana mbegu wakati goli linaingia... watabarikiwa kupata mapacha...
Nimeongea na Yohana Mbatizaji akaniambia goli lilipoingia, malaika waliacha kuimba wakabaki kushangaa kama walichokiona kimetokea duniani au mbinguni.
Hii Liverpool ya sasa inatakiwa ikacheze na timu za sayari ya Mars...
Hiyo sentensi ya mwisho utafikiri sijawahi kukufunga Anfield. Isokey nimeiona AnfieldSouthern Highland, Chugga na wengine wa Les Blu poleni sanaa...mtakua mmeelewa tukisema hii ni Anfield Fortress...
Hiyo sentensi ya mwisho utafikiri sijawahi kukufunga Anfield. Isokey nimeiona Anfield
Disgusting behavior from Fabinho. Tell me what was he doing.?View attachment 1071852
Sent using Jamii Forums mobile app
That is unprofessional.Hii kitu niliiona, nikawaza tu kwamba hata kama ni kupenga kamasi haikutakiwa kuwa karibu na watu namna ile.
Unless kulikuwa na ujumbe alikuwa anampelekea mtu.
Do you think there is good reason to do that.? Or you are just bias, because the grass ain't greener on the other side.It happens, he probably has good reason to do that.
Or maybe it is just us being too emotional for a normal act.
Kuna watakatifu...Kwan mars kuna watu bob??
Kwani we unaona anafanya nini? Mi namwona kama ameshika mdomo kama ishara ya kumsikitikia anayegangwaHiyo sentensi ya mwisho utafikiri sijawahi kukufunga Anfield. Isokey nimeiona Anfield
Disgusting behavior from Fabinho. Tell me what was he doing.?View attachment 1071852
Sent using Jamii Forums mobile app
Amepenga kamasi kwa kumfuata mchezaji anayepewa tiba hapo. Nimeshindwa kutuma video ndio ungejionea.Kwani we unaona anafanya nini? Mi namwona kama ameshika mdomo kama ishara ya kumsikitikia anayegangwa
Amempengea anayetibiwa au amepengea pembeni? Nashuhudia mara nyingi tu wachezaji wakipenga kamasi uwanjani...Amepenga kamasi kwa kumfuata mchezaji anayepewa tiba hapo. Nimeshindwa kutuma video ndio ungejionea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Do you think there is good reason to do that.? Or you are just bias, because the grass ain't greener on the other side.
Sent using Jamii Forums mobile app