Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

All Arsenal and Man United Fans trying to support us at this busy period they will turn against us If we'll end this race empty handed! I swear. They are only wanted us to beat Spurs and Chelsea so as to make way for them at Top Four

Njia yao top 4 ili iwe safi ni lazima wao washinde so ushindi wao utafanya njia ya ubingwa iwe nzuri
 
Juhudi zikionekana haziwezi kupingwa lakin makosa yanapotokea kwa uzembe wa kocha au wachezaji wenyewe lazima turaise maana tunaoumia zaid ni sisi. Hivyo basi wachezaji kuonyesha jitihada zao ndan ya pitch ni jambo ambalo hatuwez kulipinga kisa tu et mwanzo alikuwa anaboronga( hii ni tofauti na ndugu yetu mmoja humu anavyodhani). Hendo na klopp kwa sasa wanafanya mambo yalio kuwa mema kwa timu kwan mwanzo walikuwa wanatuangusha kwa namna moja au nyingine.


√Naamin tungeanza na hii mildfield na jinsi wanavyo pangwa katika role zao basi naamin mda huu tusingekuwa wa kutaka ubingwa kwa kusubiri city adrop point bali tungekuwa tumebakiza game 2 au 3 tutangazwe mabingwa

√All in All kumuombea city mabaya siwez kuacha niko katika maombi makali tena namtazama kwa jicho la husda

ALLEZ ALLEZ ALLEZ
YNWA


13SEPTEMBER
 
All Arsenal and Man United Fans trying to support us at this busy period they will turn against us If we'll end this race empty handed! I swear. They are only wanted us to beat Spurs and Chelsea so as to make way for them at Top Four
n man its sweeter if th Ganaz come back to top 4 at th expense of those big mouth Manure n Chelshit...
 
Lovren is our Disaster, Our Disaster is Lovren
Man football is just football, if you had told me Hendo would b raising to the occasion as he has since vs Southpton i would told u to ho hell n a big NO but what we are witnessing is just awesome from him for th club to win something fot this season...prior to this change in position he ws our weakest link of play..good now Fabi has claimed that spot n we are settled in md...
 
Ungelisema Liverpool anao uwezo as Kichukuwa Ubingwa basi Ningelikuelewa vizuri zaidi.

Coz kila timu ina sifa ya Kuchukuwa Ubingwa, Lakini si kila timu ina uwezo wa Kuchukuwa Ubingwa.

Sasa kama Timu yetu ina uwezo wa kuchukuwa Ubingwa na Tukaukosa basi tujiulize tuliteleza wapi mpaka tukaukosa ubingwa tuliokuwa na uwezo nao kuubeba?
kwangu naona ni upangani kikosi na tactic za kocha ndio zimefanya tuwe tulipo baada ya kua tunaongoza ligi kwa pointi 7+...

pia loss of form kwa wachezaji wetu kwa mfano Salah hapo kati alikua anazingua sana...but his back to form has come in th right tym..

after Wolves game we il see where we stand, hopefully 97points il be won n mek us th winners for EPL n whateva th outcome its been tense n brilliant to watch this boys give thier all...
 
Mkuu Klopp hakuwa sahihi kwani Hakuna mchezaji anayeadapt mchezo akiwa Kwenye Bench, Bali kuwa uwanjani na kugain game time ndiyo kuna mpa Muda wa Kuadapt na Mchezo.
Fabinho tokea alipokuja Liverpool alikuwa na uwezo na si kuwa hakukopi Mchezo.

Kumbuka game ya Bayern ya Away Alimueka bench mpaka kaumia Hendo ndiyo kamuingiza.. Sasa hapo Kusema ulimuelewa itakuwa unamuelewa kwenye maamuzi na si Kwenye maamuzi sahihi.

Wengi tuliokuwa tunaujua uwezo wa Fabinho alipokuwa Monaco basi hatukumuelewa Klopp kumueka Benchi kwa kisingizio cha kuwa Hajaadapt mpira wa EPL kwasababu tulijua kuwa hayupo sahihi na Ndiyomana alikuwa akiona Bali imeshakuwa ngumu anamuingiza.

Na amini usiamini Fabinho amecheza Jana kwasababu tu Hendo kahamishiwa Kwenye Ushambuliaji (AM).. Lakini Hendo angelikuwa bado anacheza kwenye DM basi Fabinho angeishia Bench.

Bro Klopp hakuwa sahihi unless umeridhika kugombania ubingwa na so kuchukuwa Ubingwa.
Klopp ni binadamu ana madhaifu yake tu kama hili na Faby ailimbugi tangu mwanzo...nakumbuka akitutuaminisha Keita katoka kwenye set up inayofanana na ya kwetu hivyo ataingia kikosini mapema huku akisema Fabi wataedelea nae mpaka kum tune aedane na philosophy ya timu...ajabu sasa Fabi alivyopata nafasi hajawai kurudi nyuma ni kazi kazi kiasi unajiuliza Klopp mazoezini alikua haoni huyu ni tailor made for Liverpool...

Klopp kwa sasa kaweka his German pride pembeni ndio maana mambo yanamnyookea safi kabisa.

kitendo pia cha kumtoa Clyne bila kua back up ya uhakika kimetunyima pointi na kutoa draw zisizohitajika...

Kwenda Traford kutafuta draw wakati walisharegea na majeruhi nayo shinda nyingine...

n.k
 
IMG_5118.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama sisi tulivyopania kumfunga Spurs na Chelsea nadhani na Man City watapania kumfunga Spurs na Manure.
Sioni nafasi ya kushinda EPL msimu huu...
Tulipata nafasi lakini tukashindwa kuitumia.
Mm nadhani hata mechi Kati ya Leicester na West Ham na sisi tulipania kushinda ila bahat haikuwa yetu tukadraw plus hata man city alipochexa na crystal palace, Leicester na Newcastle alipania kushinda ila akapigwa...so mpira Ni matokeo matatu mkuu na ili mradi tuna mechi tano mkononi bado kila kitu kipo wazi hasa kwenye epl tofauti ya point moja isikutoe kwenye reli...MUNGU ANALETA CHANGAMOTO KAMA HIZI ILI LIGI INOGE,JARIBU KUWAZA TUNGEKUWA TUNAPOINT KUMI AU ZAIDI JUU TUNGEKUWA TUNAELEKEZANA NN HUMU AU MSISIMKO UNGEKUWA WA KAWAIDA SANA TOFAUTI NA SASA..


NB:MWISHO WA SIKU HUU NI MCHEZO TU WA FURAHA MAISHA HAYASIMAMI KISA MPIRA TU ENJOY KILA SEKUNDE NA DAKIKA YA KINACHOTOKEA UWANJANI ILI MRADI VIJANA WANAPAMBANA,MWISHO WA SIKU LOLOTE LINAWEZA TOKEA...
#YNWA#
#INKLOPPWETRUST#
#THISISANFIELD#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri kabisa hili. Tulifanyie kazi ama mechi ya mwisho ya ligi au tukiwa tunachukua kombe la UEFA Champions League.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu hasa sisi wa dar itakuwa Ni rahisi zaidi,ngoja tujaribu kuangalia sehemu nzuri na urahisi was watu wengi kufika halafu tutaipigia chapuo kuona Ni mechi ipi hasa inayostahili....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nadhani hata mechi Kati ya Leicester na West Ham na sisi tulipania kushinda ila bahat haikuwa yetu tukadraw plus hata man city alipochexa na crystal palace, Leicester na Newcastle alipania kushinda ila akapigwa...so mpira Ni matokeo matatu mkuu na ili mradi tuna mechi tano mkononi bado kila kitu kipo wazi hasa kwenye epl tofauti ya point moja isikutoe kwenye reli...MUNGU ANALETA CHANGAMOTO KAMA HIZI ILI LIGI INOGE,JARIBU KUWAZA TUNGEKUWA TUNAPOINT KUMI AU ZAIDI JUU TUNGEKUWA TUNAELEKEZANA NN HUMU AU MSISIMKO UNGEKUWA WA KAWAIDA SANA TOFAUTI NA SASA..


NB:MWISHO WA SIKU HUU NI MCHEZO TU WA FURAHA MAISHA HAYASIMAMI KISA MPIRA TU ENJOY KILA SEKUNDE NA DAKIKA YA KINACHOTOKEA UWANJANI ILI MRADI VIJANA WANAPAMBANA,MWISHO WA SIKU LOLOTE LINAWEZA TOKEA...
#YNWA#
#INKLOPPWETRUST#
#THISISANFIELD#

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni vizuri kuishi kwa Matumaini Kwani Mimi Naitaka EPL hata kwa Tunguli ila ndiyo hivyo Ulaya hakuna Tunguli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom