Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Have a wonderful day Rafa!
IMG_20190416_172930_070.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liva chonde chonde muombe mkipita kwa Porto msiyakanyage ya Barcelona

Historia haichezi Mpira shauli yenu.
 
Kule kafika tu na laliga nyie toka ameondoka hata FA hamna nyie loosefool

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvaa medali sio tatizo inshu Ni mchango wako Kama mchezaji kwenye upatikanaji wa hizo medali!!?unamjua arda Turan ewew!!?maisha ya Barcelona sio mepesi kihivyo..Luis Suarez anaimiss Liverpool countinho Ni Nani hasa mpaka tummiss sisi!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bwana wee, nilisoma Sky eti Hendo ndio alimuomba Klopp acheze box to box na Fabi acheze defensiv md..na Klopp akakumbali...

uzuri Hendo kwa hii nafasi yake mpya ni kama sio.yeye vile anajituma sana tu na akiedelea hivi msimu ujao tunae Le Captain hapa hapa Anfield..

whats matters now ni pointi 3 tu hata akicheza straika ni sawa lakini pointi 3 tubakie nazo...
Hendo iyo sio nafasi yake mpya,ila iyo ndio nafasi yake tokea enzi ya BR....akiwa BOX TO BOX huwa ana perform mnoo. Tatzo Klopp alipokuja alitaka ambadili awe DM (Number 6) hapo ndipo alipomharibu uyu mtu.
 
Mchango wake Jana haujauona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuuelezea mchango wake kiujumla tokea aende Barcelona achana na goli la Jana ambalo huku kwetu hata the king himself kawabonda nalo chelshit j.pil,.
Ukinielezea mchango wa huyo dogo pale Barcelona tokea aende na alivyosaidia Hilo kombe ulilolitaja kalibeba na mm ntaanza rasmi kummiss counthino.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Kitu ambacho Klopp alikuwa Ananipa Headache ni Kumchezesha Hendo kwenye DM while kila mtu alikuwa akiona kwamba He is shit at that position.

Now tumepata Mtu sahihi wa hilo eneo FABINHO na Hendo amepelekwa anapostahili kuwepo.

So, Klopp sasa ndiyo amefanya good soccer management, Lakini hapo awali alikuwa na Bad soccer management kwa Kumchezesha Hendo at Six ingawa tuliomkosoa tulionekana tuna chuki na kocha na hatujui kitu.
you're right. what i know is Klopp is a perfect gentleman... hana arrogancy ya kujifanya anajua sana. in my opinion, ni msikivu.

alipokuja LFC alikuwa na mentality ya "If you bring 1 player in for £100m & he gets injured, then it all goes through the chimney".

sikuipenda hii attitude yake and am on record to be one of those who were calling for his head then, albeit sarcastically!

baada ya kukosolewa na kushauriwa in equal measure, he splashed loads of moolah to land VVD. then on Alisson. the rest is history.

from that point on, Klopp has earned my full respect. i believe he's up there with the Guardiola's of this world. he could be our next Paisley, etc.

win tonite vs Porto, LFC will be the only club to make back-to-back top 4 in Europe these past 2 seasons. by any standard, this is no mean feat. if you ask me, i'll put my money on the possibility for us winning the UCL rather than the EPL this season.

folks, am personally convinced Klopp is building something very special at Anfield. with a couple more summer signings in key areas, Klopp could oversee a dynasty for years to come - happy us!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom