Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijui lakini kwa gemu ya jana against Soton pale St Mary's first half tulipwaya sana upande wa kulia ambapo Gini alikuwa anaoperate as CM,i saw kitu baada ya ile tactics sub tulikuwa very aggressive sana na kusababisha winning ile

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli jana jana kipindi cha kwanza kati palikufa sana, Gini alikua hafanyi kazi yake ipasavyo bivyo kumstrech sana Fabi na kama uliona Ston waligundua hilo wakawa wanatumia sana pembeni na hili shinda maana RB/LB wetu hua ni part ya attacking stratergy lakini jana walikamatika baada ya kati kupoa...alivyotoka Gini pakawa composed n solid na hii akamfanya mkata umeme Fabi kafanya kazi yake kwa utulivu...kulia pia yupo Salah ambae defending muda mwingi yeye huchelewa...
 
We jamaa angalieni msije cheza Futuhi tena mwakani!
Mkuu hayo mashindano nayo si ya mpira wa miguu.?
Mshindi wa futuhi si anaenda kucheza Supercup na mshindi wa UEFA?
Timu zinazotoka hatua ya mtoano UEFA si zinaenda futuhi.?

Kwa hiyo hata nikicheza futuhi tena mimi siwazi bhana. Hiyo UEFA nyie mmeitafuta kwa muda gani na hamjaipata.? Au ndio sizitaki mbichi hizi!!

Very submissive language, naona umeshakubali kushindwa.

Sawa mkuu.
 
Hata hivyo goli la Keita, Salah alikuwa ameotea sijui ni kitu gani kinawasibu marefarii wa EPL, juzi tu Aspi wa Chelsea anafunga goli kaotea Zaidi ya futi mbili. Wacheni tu VAR ije tena haraka
 
Hata siyo wa EPL pekee yake, ni kwamba top teams huwa zina attract upendeleo mdogo mdogo kama huu.

Huwa inakuja na ubora wa timu, "Fortune favors the brave".
 
Hazard ana goli ngapi?
Hazard ana goal 14 nyuma ya mfungaji bora kwa goal 5 na ni moja ya wachezaji atatawala transfer mwaka huu na sababu ni mchezaji mzuri ndio maana unasikia Real Madrid wameanza kuimba nyimbo ya Hazard wale hawaendi kwa mtu ila ujue ana vigezo vyote sasa ukitaka kuniambia Hazard sio tishio ni siku ambayo Mid za Liver wapoteze mipira kama jana nje ya 18. wiki ijayo wanakuja kwetu
 
Vizuri sana mkuu, nimekuelewa.
 
Quality ya mchezaji haipimwi tu kwa magoli, Hazard ni mchezaji ambaye akiwemo uwanjani defense ya timu pinzani inapata kazi kwa sababu is a wide player, hachezei mguu mmoja wala upande mmoja wa uwanja. Ni mzuri wa kufunga na ku-assist kwa pamoja. dio maana Zidane hajafunga magoli mengi lakini ni Legend
 
Ni kweli ndio maana mimi kama mshabiki wa Liver baada ya kuona jana Mid zetu kupoteza mipira sehemu mbaya sana imenitia wasiwasi lazima tucheze kama tukiwa CL hakuna makosa katikati Hazard sio wa kumpa mpira hata mmoja ana madhara makubwa sana huyu jamaa. na yote haya nasema baada ya kuona Keita jana kama mipira mitatu watu wamempokonya nje ya 18 ni hatari sana makosa kama hayo kwa watu kama Hazard.
 
We jamaa hebu jiamini, hizi ni forum za wazi. Unapoandika kitu lazima ujiandae kukitetea kwa vielelezo.

Sote humu hakuna anayejua kumpita mwenzake, tunaelekezana. Point yako ya Hazard hakosi nafasi kama zile ndiyo nataka tuijadili.

Kitu kingine, ukitaka kuandika kitu ambacho hutaki mtu aku-quote wala kuhoji, andika kwenye diary na si kwenye forums kama hizi.
cha muhimu ni kuwa kwenye forum kama hii mtu hutakiwi kuwa serious katika kukasirika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ndio maana mimi kama mshabiki wa Liver baada ya kuona jana Mid zetu kupoteza mipira sehemu mbaya sana imenitia wasiwasi lazima tucheze kama tukiwa CL hakuna makosa katikati Hazard sio wa kumpa mpira hata mmoja ana madhara makubwa sana huyu jamaa. na yote haya nasema baada ya kuona Keita jana kama mipira mitatu watu wamempokonya nje ya 18 ni hatari sana makosa kama hayo kwa watu kama Hazard.

Ukitembelea jukwaa la Chelsea utakutana na malalamiko ya wadau juu ya kwamba Hazard ni mchoyo na anashindwa kuwachezesha strikers ipasavyo.

Nadhani huwa ni kupishana mitazamo.
 
Ni kweli ndio maana mimi kama mshabiki wa Liver baada ya kuona jana Mid zetu kupoteza mipira sehemu mbaya sana imenitia wasiwasi lazima tucheze kama tukiwa CL hakuna makosa katikati Hazard sio wa kumpa mpira hata mmoja ana madhara makubwa sana huyu jamaa. na yote haya nasema baada ya kuona Keita jana kama mipira mitatu watu wamempokonya nje ya 18 ni hatari sana makosa kama hayo kwa watu kama Hazard.
Ila mkuu sizani kama kuna mchezaji asie kosea ndani ya dakika 90 muhimu ni kushirikiana na kuziba mapungufu nazani hata goli tulofungwa umeona Vvd hakuba ipasavyo.
Kama unakumbuka hata Salah aalikua mbovu sana mechi za mwanzoni Mane kapata nafasi ya kichwa kakosa

Wote wanakosea ila tuna pima kati ya mazuri na mabaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom